Qatar kuandaa mashindano ya Formula 1 Grand Prix kwa mara ya kwanza novemba hii, ikichukua nafasi ya Australian GP baada ya kufutwa mashindano hayo.
Mashindano hayo yamepangwa kufanyika kwenye uwanja wa Qatar Losail International Circuit novemba 21 na itakuwa mara ya kwanza kwenye ukanda huo kumalizia msimu wa furmula 1, huku mashindano yanayofuata yakiandaliwa na majirani zao mwezi disemba Saudi Arabia na Abu Dhabi.
Kampuni ya kimataifa ya mawasiliano Ooredoo, ndiyo mdhamini mkuu wa mashindano hayo, pia Qatar wamesaini mkataba wa kuandaa mashindano ya Formula 1 kwa muda wa miaka 10 kuanzia 2023.
Formula 1 walikuwa na viwanja viwili tu vilivyokuwa vinaanda mashindano hayo mara kwa mara mashariki ya kati mpaka mwaka huu, viwanja hivyo ni Sakhir Circuit Bahrain waliandaa kwa mara ya kwanza 2004 huku Yas Marina Abu Dhabi waliyo andaa mwaka 2019.
SPACE SPIN NA MERIDIANBET.
Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.