Msemaji wa klabu ya Yanga Sc Hassan Bumbuli amesema Feisal Salum Faitoto Amerejea kambini baada ya kukosekana kwenye michezo miwili iliyo pita baada ya kupona majerah yake.

 

yanga, YANGA : Jobu, Feitoto, Metacha Wamerejea., Meridianbet

Pia Dickson Jobu Amerejea kambini baada ya kuumia kwenye mchezo uliopita dhidi ya Gwambina fc Na sasa anaungana nawachezaji wenzie kuendelea kuwatumikia Yanga.

Pia Golikipa wetu Metacha Mnata Amerejea kambini baada ya kukosekana kwenye michezo miwili iliyopita Metacha alikoseana kwenye mechi izo baada ya kufiwa na mtoto wake.

 


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

yanga, YANGA : Jobu, Feitoto, Metacha Wamerejea., Meridianbet

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa