Uongozi wa Yanga na mshauri wa benchi la ufundi Senzo Mazingisa ameelezea kwanini wanataka kumsaini kocha mpya katikati ya msimu.

Timu ya Wananchi inalazimika kutafuta kocha mpya baada ya Cedric Kaze kufukuzwa mapema mwezi huu March baada ya kupoteza kwa 2-1 dhidi ya Costal Union. Kocha mkuu wa zamani wa Harambee Stars Sebastien Migne yupo karibu kujiunga na miamba ya ligu kuu Tanzania Bara.

Mwanzoni, Herbert Velud ambaye kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya taifa ya Sudan alikuwa akihusishwa na klabu hiyo lakini taarifa zilionesha mazungumzo ya shindikana kutokana na kocha huyo kutaka dau kubwa.

“Bado tupo kwenye nafasi nzuri ya kushinda taji na hata FA Cup ndiyo maana tunahitaji kocha mpya msimu huu badala ya kusubiri mpaka kampeni ijayo itakapoanza,” Mazingisa aliiambia Mwanasport. Tunamjua kocha mpya ataleta hali ya hewa nzuri ambayo tunahitaji.

“Kama kocha mpya akija mwanzoni mwa msimu ujao, atachelewa kuelewa nini kinacho hitajika sio kama akitua sasa.

Juma Mwambusi ataendelea kuwa kocha msaidizi na Mazingisa alielezea kwanini wanahitaji mtanzania hata kama atakuja kocha mpya.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Yanga, Yanga Kusajili Kocha Mpya Katikati ya Msimu Huu., Meridianbet

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa