Makala nyingine

KOCHA Mkuu wa Yanga Nasraddine Nabi ametoa malalamiko yake kuhusu Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kuwa ngumu sana, kutokana na michezo mfululizo kufuatana na kuwakosesha muda wa kupumzika na …

Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Bernard Morrison ambaye aliifungia timu yake goli la penati lililoipatia alama tatu muhimu dhidi ya Geita Gold kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza, ametolewa …

Klabu ya Yanga imesafiri leo hii kuifuata Geita Gold ambapo wanatarajia kucheza mchezo wao wa Ligi kuu ya NBC hapo kesho majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa CCM …

Uongozi wa Pan African rasmi leo umevunja benchi la ufundi la timu hiyo likiongozwa na Kocha Mkuu, Twaha Beimbaya kutokana na matokeo yasiyoridhisha. Pan African tangu kuanza kwa msimu huu …

Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda, raia wa Serbia Milutin Micho ambaye aliwahi kuinoa Yanga miaka ya nyuma amefunguka kuwa kwa hapa Tanzania klabu na uongozi wa Yanga ni …

MKUU wa Idara ya Maudhui ya Kidigitali wa Klabu ya Yanga SC Priva Abiud Shayo Maarufu kama Privadinho, amewataka mashabiki, wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni …

NABI: Wahenga walisema ‘lisemwalo lipo’, kama bado basi laja! huu ni msemo maarufu sana kwa mtu akitaka kujihakikishia jambo kuwa litatokea muda wowote kuanzia wakati huo. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema …

Kocha Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amefunguka kuwa sababu ya kuruhusu mabao ya kushambulia kwa kushtukiza ni mabeki wake kujisahau. Nabi aliongea hayo jana jumapili baada ya kumalizika kwa mchezo …

Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda, raia wa Serbia Milutin Micho ambaye aliwahi kuinoa Yanga miaka ya nyuma amefunguka kuwa mbali ya kuwa wachezaji wote wa Yanga walicheza vizuri …

MICHO: Jana wakati mchezo wa watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba ulipokuwa ukiendelea, ulishuhudia watu wengi kutoka nchi tofauti wakihudhuria uwanjani kushuhudia mchezo huo wa historia. Miongoni mwa watu …

MCHEZAJI wa Simba Agustine Okrah ambaye ni raia wa Ghana, ametumia mtandao wake wa kijamii kufafanua suala la yeye kushindwa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ya watani wa …

1 2 3 4 5 6 7 8