Makala nyingine

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga Lazarious Kambole ameanza rasmi mazoezi kwenye kikosi hicho tayari kwa ajili ya kujiweka fiti kwenye michezo inayowakabili klabu hiyo msimu huu. Kambole ambaye ni …

GOLIKIPA wa zamani wa Yanga, Ramadhan Kabwili amesaini mkataba wa kukitumikia kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.  Kabwili alikitumikia kikosi cha Yanga kwa mafanikio makubwa ambapo alipandishwa kwenye kikosi cha …

BAADA ya kufungiwa kwa uwanja wao wa Highland Estates, Uongozi wa Ihefu umefunguka kuwa watarejea kwenye Uwanja wao kukipiga na Yanga. Ihefu wanatarajia kucheza mechi yao ya pili ya ligi …

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewaambia mashabiki wa timu hiyo kuwa, wanatakiwa kusahau matokeo ya Kariakoo Dabi na badala yake wajipange kwa ajili ya michezo …

KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya kupoteza mchezo wao wa juzi Jumamosi dhidi ya Yanga ni makosa mengi ambayo yalifanywa na safu ya ulinzi …

BAADA ya kuondoka kwa Walter Harrison, Uongozi wa klabu ya KMC umemtangaza Daniel Mwakasungula kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo. Walter ambaye aliiongoza klabu hiyo kwa mafanikio makubwa aliondoka hivi …

KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Joslin Sharif amefunguka kuwa tayari ameongea na mabeki wake ili kuhakikisha hawafanyi makosa na kuadhibiwa na straika wa Yanga, Fiston Mayele.  Mchezo huo wa ligi …

NYOTA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ni kocha msaidizi wa Yanga Princess Mohamed Hussein ‘Mmachinga’ anaimani kuwa Simba watapoteza kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utachezwa leo …

SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limemweka wazi mwamuzi wa kati atakayesimamia mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba kesho ambaye ni Elly Sasii. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa …

NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amewaita mashabiki wa Yanga kwenye mchezo wa Dabi kesho kwani kutakuwa na sapraiz kubwa kwao. Akizungumzia maandalizi yao, Mwamnyeto amesema kuwa: “Sisi kama wachezaji tumejiandaa …

MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele aliyefunga mabao 16 kwenye ligi anatarajiwa kukwaa vigingi vitatu Agosti 13, kwenye mchezo dhidi ya Simba. Nyota huyo anashikilia rekodi ya kuwatungua …

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amefunguka kuwa kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Simba watamkosa straika wao mpya, Lazarious Kambole. Akizungumzia maandalizi yao, Nabi amesema “Tunashukuru tupo sawa kuelekea …

KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Yanga anatarajia wachezaji waliopo kwenye kikosi watampa matokeo mazuri. Mchezo huo wa Ngao ya jamii …

ZIKIWA zimesalia siku tatu tu, kabla ya kuwavaa Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa siku ya Jumamosi, kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameibuka na kuweka wazi kuwa …

KIUNGO wa Yanga, Gael Bigirimana, ameanza na mkwara mzito kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba kwa kuwaambia wapinzani wao kwamba, wanapaswa kujipanga vizuri. Bigirimana aliyewahi kucheza Ligi …

1 2 3 4 5 6 7 8