Makala nyingine

Kocha mshahuri na aliyewai kuvifundisha vilabu vikubwa barani Afrika Pitso Mosimane leo ametoa shukrani zake kwa klabu ya Yanga kwa kumwalika kwenye siku ya wananchi. Pitso Mosimane ameshawai kufundisha timu …

Mchezaji wa kimataifa wa Uganda anayecheza kwenye klabu ya Yanga Khalid Aucho ameahidi kuwa kuelekea msimu ujao wanatarajia kufanya vizuri kwenye ligi na michuano ya kimataifa. Aucho kwenye msimu uliopita …

KIRAKA wa Yanga, Mkongomani, Yannick Bangala, baada ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, inaelezwa kwamba thamani ya mkataba huo ni shilingi milioni 400. Bangala aliyefanikiwa kutwaa Tuzo ya …

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana wachezaji kiasi cha kukosa muda wa …

KUELEKEA siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi, Uongozi wa Yanga umetembelea shule ya Sekondari ya wasichana Jangwani na kukabidhi zawadi mbalimbali. Hiyo ni moja kati ya ratiba zilizopo ikiwa …

Mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM Jemedari Said leo amemchambua aliyekuwa mkurugenzi wa klabu ya Yanga aliyemaliza muda wake raia wa Afrika kusini Senzo mbatha mazingiza kuwa ameshindwa kufanikiwa …

Mkurugenzi mwendeshaji wa klabu ya Yanga Senzo Mbatha Mazingiza leo ndio siku yake ya mwisho kuhusu kwa nafasi hiyo kwenye klabu ya Yanga na ameomba kutoongezewa muda wa kuendelea kkufanya …

OFISA habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi kuwa wanajivunia ubora wa mastaa wapya waliosajiliwa ndani ya kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23 na kuweka wazi kuwa, hawana haja …

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ambayo watakwenda nayo msimu ujao ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Mataji hayo ni Ngao ya Jamii,Ligi Kuu …

Usajiri unaoendelea ndani ya kikosi cha Azam FC unawapa jeuri wachezaji wa klabu hiyo kiasi cha kubeza usajili ambao unafanywa na klabu zingine hususan Simba na Yanga ambao wamekuwa wakisajili …

Mshambuliaji nyota wa klabu ya Yanga Fiston Mayele, je huu ndio msimu wake wa mwisho na mabingwa wa Tanzania bara wa NBC Premier League? Awali kulikuwa na taarifa kuwa mshambuliaji …

1 2 3 4 5 6 7 8