Vyanzo vya ndani vinasema mwekezaji bilionea Ghalib Said Mohammed ambaye ni miongoni mwa wadhamini wa Yanga SC amewaambia wachezaji kambini kwamba wakiipiga Simba atatoa zaidi ya Sh milioni 500 alizowapa kwenye mechi ililyopita.

 

yanga, Yanga Yawekewa Millioni 500 Kuimaliza Simba Kigoma., Meridianbet

Mmoja wa wachezaji wa Yanga walinukuliwa wakisema kwamba amewasisitiza wachezaji wamfurahishe na yeye atawafurahisha zaidi ya na ilivyokuwa mara ya mwisho.

“Amekuwa na ahadi za uhakika na ametuongezea morali wachezaji wote kuanzia kambini, uwanja wa mazoezi na hata siku yenyewe ya mechi, alisema mchezaji huyo na Kuongeza.

 

“Kama katika mechi iliyopita baada ya kuwafunga Simba mchezaji mmoja aliyecheza tu alipata si chini yaa Sh milioni 20 sasa safari hii pesa hiyo inazidi tutaenda kupambana mpaka mwisho kuona tunashinda tena mbali ya faida nyingine kama kuchukua kombe, kuwafunga Simba na mengineyo mengı.”


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa