Everton wanaripotiwa kuwa wapo tayari kumuuza mchezaji wao Yerry Mina katika dirisha la Uhamisho la mwezi Januari ikiwa ofa itakayowasilishwa itaendana na dau wanalolitaka wao la kuanzia la £21m.
Kwa mujibu wa chanzo cha Tuttomercatoweb, Everton hawajizuii kumuuza Yerry Mina ili waweze kupata nafasi na fungu la kuongeza nguvu katika usajili wa wachezaji bora zaidi, wenye uwezo na uzoefu mkubwa.

Taarifa zinasema Kalidou Koulibaly, ambaye alishawahi kufanya kazi na Carlo Ancelotti pale dimbani Diego Armando Maradona, ni miuongoni mwa wachezaji wanaotupiwa jicho.
Koulibaly anaweza kuwagharimu Everton kiasi cha £43m, hivyo klabu inahitaji kutengeneza vyanzo zaidi kwa ajili ya kupata pesa hiyo na hiyo inawezekana kupitia kuwauza wachezaji kadhaa.

Hata hivyo, katika kuinasa saini hiyo klabu inaenda kukutana na ushindani kutoka vilabu vingine toka Hispania na Uingereza,wakiwepo Real Madrid, Liverpool na Manchester United -kwa mlolongo huo.
INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.
Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.
CHEZA HAPA
Asante kwa taarifa
Nice
safii