Baada ya sokomoko la muda mrefu kuhusu hatima ya Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’, kuhusu mkataba wake kusalia na miezi miwili huku akihusishwa kuondoka klabuni hapo hatimaye aongeza mkataba kusalia klabuni hapo jioni ya jana.

Meneja wa Zimbwe Jr, alieleza kwamba timu ya Simba inasuasua kuongeza dau ili mchezaji huyo aongeze mkataba, lakini mabosi wa Simba wameona waweke pesa mezani na kuendelea kusalia na mchezaji huyo klabuni hapo mpaka 2023.

Hivi karibuni Zimbwe amekuwa na kipindi kizuri sana na kuonesha ukuaji bora wa kipaji chake, amefunga magoli muhimu sana na kuisaidia timu kama kapteni msaidizi ameshiriki matukio mengi sana ya kuisaidia timu.

Wakati huo huo pia Nahodha mkuu wa Klabu hiyo, John Bocco nae ameongeza mkataba wa kusalia klabuni hapo japo haijajulikana ni kwa muda gani ila wote kwa pamoja wameongeza mkataba kuendelea kusalia timu hiyo.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa