Nahodha msaidizi wa Simba SC, Mohamedi Hussein, Zimbwe Jr amezungumzia mchezo wa kesho kuwa ni mchezo watakaocheza ili kuonesha ukubwa wa timu hiyo dhidi ya watani woa wa jadi.

Zimbwe Jr, ambaye amekuwa akiongoza mechi kadhaa za Simba kama nahodha atakuwa na jukumu lingine siku ya kesho la kuhakikisha kuwa wanashinda dhidi ya watani wao wa jadi Yanga.

Simba ndio pekee iliyochukua kombe hilo mara nyingi zaidi likifanya hivyo mara 2, huku Yanga ikichukua mara moja.

Fainali ya Shirikisho la Azam itachezwa hapo kesho majira ya saa 10 jioni.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa