Mshambuliaji wa Milan Zlatan Ibrahimovic aliwasaidia Sweden kuwatandika Kosovo na kusema kuwa anatambua kuwa sio wengi wanaoweza kufanya kile anachokifanya yeye wakiwa na umri wa miaka 39.

“Sina kitu zaidi cha kuthibitisha” ni maneno ya veterani huyu wa soka ambaye amerejea kwenye timu ya taifa wiki liyopita kwenye mechi dhidi ya Georgia ambayo Sweeden walishinda kwa 1-0, kabla ya kupata ushindi mwingine wa 3 bila dhidi ya kosovo kwenye hatua ya kufuzu Kombe la Dunia.

Zlatan Ibrahimovic: Sina kitu zaidi cha kuthibitisha

NYota huyu ambaye ameweka wazi kuwa hali yake sasa imebadilika linapokuja swala la soka, na kwake hiki ni kipindi cha kufurahia tu katika kipindi chote cha maisha yake ya soka kutokana na kile anachokifanya.

“Sasa nipo katika hali tofauti kabisa, Kwa sasa sina kitu kilichosalia cha kuthibitisha, hakuna kitu kipya cha kufanya kwenye soka langu la kulipwa zaidi ya kufurahiua tu. Ninamaanisha kuwa nina miaka 39, na ninacheza timu ya taifa si wengi wanaweza kufanya hivyo wakiwa na umri kama wangu” -Zlatan Ibrahimovic


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Ibrahimovic, Zlatan Ibrahimovic: Sina kitu zaidi cha kuthibitisha, Meridianbet

CHEZA HAPA

 

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa