Kaizer Chiefs Wawateua Ben Youssef na Kaze 

Klabu ya Kaizer Chiefs FC imetangaza rasmi kuwapa majukumu ya ukocha wakuu Khalil Ben Youssef na Cedric Kaze, wakiongoza timu hiyo hadi mwisho wa msimu wa 2025/26. Uamuzi huu umefuatia kuachana kwa maelewano na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi.

Kaizer Chiefs Wawateua Ben Youssef na Kaze 

Kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari, Kaizer Chiefs wamesisitiza kuwa uteuzi huu unalenga kudumisha mwendelezo na uthabiti ndani ya benchi la ufundi, hasa wakati huu ambapo timu inajiandaa kwa michezo muhimu ya ndani na kimataifa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Kaizer Chiefs Wawateua Ben Youssef na Kaze 

Ben Youssef na Kaze wanachukuliwa kuwa makocha wenye uzoefu na falsafa ya kisasa ya soka, na uteuzi wao unatarajiwa kuleta mwelekeo mpya katika safari ya Kaizer Chiefs kuelekea mafanikio ya muda mrefu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.