Friday, September 23, 2022

La Liga

Barcelona

Barcelona Wakanusha Pique Kutaka Kununua Barça Studios

0
Klabu ya Barcelona imekanusha taarifa iliyotolewa na ARA kuwa Gerard Pique sakata lake la kutaka kupunguziwa mshahara halikuweza kufanikiwa kwa sababu ya klabu ilikuwa haina nia kumruhusu kununua hisa za umiliki wa klabu ya Barça Studios. Mlinzi huyo wa kimataifa...
Barcelona

Barcelona Wavunja Mkataba na Martin Braithwaite

0
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano ya kusitisha mktana na mchezaji wa kimataifa kutoka Denmark Martin Braithwaite baada ya mavituno ya miezi kadhaa kutokana na swala kupunguza mshahara wake. Martin Braithwaite tokea klabu ya Barcelona ifanye maingizo mapya kwenye klabu hiyo...
Barcelona

Barcelona Wakamilisha Usajiri wa Jules Kounde

0
Klabu ya Barcelona wamekamilisha usajiri wa Jules Kounde na sasa wanaweza kumtumia kwenye michezo ya La liga baada ya chama cha soka nchini humo kuthibitisha kutumika kwake kwenye msimu wa 2022-23. Kulingana na taarifa iliyotolewa hivi leo, Barcelona wanaweza mjumuisha...
Barcelona

Barcelona Kuwaacha Waliowasijiri Dirisha Hili

0
Klabu ya Barcelona inampango wa kuwaacha wachezaji wake wawili ambao wamewasijiri kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi ambao ni Andreas Christensen na Franck Kessie bila ya kucheza mchezo wowote  kwenye klabu hiyo. Andreas Christensen na Franck Kessie wamejiunga na Barcelona...
Joan Laporta

Joan Laporta Kumrudisha Messi Barcelona

0
Raisi wa klabu ya Barcelona Joan Laporta ameahidi kumrudisha aliyekuwa mchezaji nyota wa klabu hiyo Lionel Messi kwenye viunga vya Camp Nuo kwa mara pili baada ya kuondoka kwenye klabu hiyo majira ya kiangazi yaliopita. Klabu ya Barcelona ikmekuwa ikipambana...
Steve Nicol: Ronaldo Simuelewi.

Madrid: Mashabiki Waanzisha Kampeni ya Kumpinga Ronaldo

0
Mashabiki wa klabu ya Atletico Madrid wameanzisha kampeni kwenye mitandao ya kijamii kushinikiza klabu yao kutokumsajiri mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo Mshambuliaji huyo wa kimataifa mwenye umri wa miaka 37, mwishoni mwa mwezi June, aliwasilisha ombi la...
Nagelsmann

Nagelsmann Ashangazwa na Barcelona

0
Kocha wa klabu ya Bayern Munich Julian Nagelsmann haelewi jinsi klabu ya Barcelona inavyojiendesha licha ya kuwa kwenye ukata mkubwa lakini bado wamekuwa wakitunisha misuli kwenye soko la usajiri. Klabu ya Barcelona imefanikiwa kumsajiri mshambuliaji wa klabu ya Bayern Robert Lewandowski,...
Barcelona

Je Wakumbuka Barcelona na Uhamisho wa Diaz na Vlahovic?

0
Je wajua kuwa klabu ya Barcelona ilishawai kukubaliama na wachezaji Luiz diaz na Vlahovic kabla ya wachezaji hao kuamua kutimkia kwenye vilabu vingine? kulingana na Gerrard Romero, klabu ya Barcelona ilshafanya mkubaliano yote na wachezaji hao, na walikuwa karibu kabisa...
Frenkie de Jong

Frenkie de Jong Ndio Kikwazo kwa Manchester United

0
Klabu ya Manchester United Imekubaliana na Barcelona kuhusu uhamisho wa kiungo wake Frenkie de Jong baada ya mazungumzo ya muda mrefu, huku ikatarajiwa United kulipa kiasi cha €85milioni lakini mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Uholanzi amegoma. Frenkie de Jong hana...
Dembele Aongeza Miaka Miwili na Barcelona

Dembele Aongeza Miaka Miwili na Barcelona

0
Mchezaji wa Barcelona Ousmane Dembele amekabuliana na klabu hiyo kusaini mkataba wa miaka miwili kwa kukubali kupunguzwa kwa mshahara wake. Taarifa zinadai kwamba Dembele atakatwa mshahara wake kwa alsimia 40% kutoka kwenye mshara wake wa uliyopita. Dembele alianza mazoezi na kikosi...

MOST COMMENTED

Ufunguo wa Oscar Piastri Anao Fernando Alonso?

0
Kupata nafasi kwa Oscar Piastri kwenye Formula 1 kunamtegemea kwa kiasi fulani Fernando Alonso. Hii ni kwa mujibu wa Marcin Budkowski, mkurugenzi mtendaji wa Alpine...

HOT NEWS