MAKALA MPYA

Rooney

Rooney Kuifundisha MLS All-Star

0
Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney anatarajwa kuifundisha timu ya mastaa wanaocheza ligi kuu nchini Marekani katika mchezo dhidi ya klabu ya Arsenal unaotarajiwa kupigwa mwezi Julai. Wayne Rooney amekua akifundisha klabu ya DC United ya...
Tchouameni

Tchouameni Hajakata Tamaa

0
Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Aurelien Tchouameni amekua akipitia kipindi kigumu kwenye klabu ya Real Madrid lakini inaelezwa hajakata tamaa na ataendelea kupambana zaidi. Tchouameni anaonekana kupoteza nafasi ndani ya kikosi cha Real...
alonso

Alonso Kwenye Rada za Real Madrid

0
Kocha wa klabu ya Bayern Leverkusen Xabi Alonso ameingia kwenye rada za klabu ya Real Madrid na kutajwa kama mrithi wa kocha wasasa wa klabu hiyo kocha Carlo Ancelotti ambaye anatajwa kuondolewa klabuni hapo. Xabi Alonso amekua kwenye kiwango kizuri...
sampaoli

Sampaoli Akalia Kuti Kavu Sevilla

0
Aliyekua kocha wa klabu ya Sevilla George Sampaoli ametimuliwa ndani ya klabu hiyo baada ya mabosi wa klabu hiyo kutoridhishwa na mwenendo wa kocha huyo ndani ya timu hiyo. Kocha huyo Sampaoli amekua kwenye wakati mgumu ndani ya timu hiyo...

Mbappe Nahodha Mpya wa Ufaransa

0
Kylian Mbappe atakuwa nahodha mpya wa Ufaransa baada ya kupata bao kutoka kwa Didier Deschamps.   Mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain alikuwa mgombea bora kuchukua nafasi ya Hugo Lloris, ambaye alistaafu baada ya Kombe la Dunia. Mbappe inasemekana aliambiwa kuhusu kuteuliwa...

Sevilla Yamtimua Sampaoli Baada ya Kuhudumu kwa Miezi 5 Pekee

0
Jorge Sampaoli ametimuliwa Sevilla baada ya mwenendo mbaya wa kiwango chake na kuwaacha pointi mbili tu juu ya eneo la kushushwa daraja kwenye LaLiga.   Kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wenzao Getafe wanaojitafuta siku ya Jumapili kilithibitisha matokeo ya mwisho...

United Wanamtazama Mitoma kwa Ajili ya Kujenga Upya Timu Majira ya Joto

0
Manchester United imetuma maskauti kumtazama Kaoru Mitoma wakati wakijiandaa kwaajili ya mapumziko chini ya Erik ten Hag.   Mitoma mwenye miaka 25, alicheza mechi yake ya kwanza kabisa akiwa na Brighton mwezi Agosti lakini anashamiri chini ya Roberto De Zerbi katika...

Haaland Ajiondoa Kwenye Kikosi cha Norway Baada ya Kupata Jeraha

0
Erling Haaland atarejea Manchester City kwa uchunguzi wa kufuatia jeraha la paja baada ya kujiondoa kwenye kikosi cha Norway kwa mechi zao mbili za kwanza za kufuzu Euro 2024.   Mshambuliaji huyo nyota alifunga hat-trick City ilipoichapa Burnley 6-0 katika robo-fainali...

Mshambuliaji wa Zamani wa Arsenal na City Adebayor Atundika Daluga

0
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Manchester City Emmanuel Adebayor ametangaza kustaafu akiwa na umri wa miaka 39.   Nyota huyo wa zamani wa kimataifa wa Togo pia aliwahi kucheza na Real Madrid, Tottenham na Crystal Palace wakati wa taaluma yake...

Hodgson Arejea Crystal Palace Kwa Mara Nyingine kama Kocha Mkuu

0
Roy Hodgson ametoka kustaafu na kujaribu kuiokoa Crystal Palace dhidi ya kushuka daraja ambapo ametangazwa hii leo kuwa kocha wa klabu hiyo tena mpaka mwisho wa msimu.   The Eagles wako kwenye nafasi isiyoshwaishi kwenye msimamo wa Ligi Kuu wakiwa wamevuna...