Nyumbani Football South America

South America

Mkongwe huyo wa miaka 80 anatibiwa katika Hospitali ya Albert Einstein huko Sao Paulo.

Pele Apata Afadhali Baada ya Kufanyiwa Upasuaji

0
Gwiji wa mpira wa miguu nchini Brazil Pele anakaa katika uangalizi wa wagonjwa mahututi lakini anapata ahueni ya kuridhisha baada ya kufanyiwa upasuaji wa uvimbe wa Utumbo mpana unaoshukiwa. Timu yake ya matibabu ilisema kwamba alikuwa "anafahamu, anazungumza kikamilifu na...

Messi: Kwanini Wasubiri Mpaka Mechi Ianze?

2
Lionel Messi alikuwa makini sana kwamba Ulimwengu ulikuwa ukifuatilia kinachoendelea kutoka katika mchezo wa Brazil vs Argentina ambao ulihairishwa pale mamlaka zilipoingilia mechi hiyo ndani ya dakika nne sababu ya uwepo wa wachezaji wa Premier League ambao ni Emiliano...
Cavani Kubaki Manchester Baada Uruguay Kufuta Wito Wake

Cavani Kubaki Manchester Baada Uruguay Kufuta Wito Wake

0
Edinson Cavani atabaki Manchester United wakati wa mapumziko ya kimataifa baada ya Uruguay kutangaza uamuzi wao wa kufuta wito wake kwaajili ya michezo ya kufuzu Kombe la Dunia lijalo. Klabu zote 20 katika Premier Leageu zilikubaliana kwa kauli moja wiki...
Guardiola Atamani Kufundisha Timu ya Taifa

Guardiola Atamani Kufundisha Timu ya Taifa

0
Pep Guardiola ametangaza nia yake ya kuondoka Manchester City na kutafuta fursa katika kiwango cha kimataifa pindi mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu ujao. Guardiola sasa yuko katika mwaka wa mwisho wa makubaliano yake kwenye Uwanja wa Etihad, ambapo amekuwa...
Alves Ajibu Kuhusu Onyo la Messi Kwake

Alves Ajibu Kuhusu Onyo la Messi Kwake

0
Leo Messi alisema kwamba amedhamiria kumfikia na kumpita Dani Alves kutwaa mataji kabla ya kustaafu, wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuwaaga mashabiki, na Mbrazil huyo alijibu kwa kukaribisha "changamoto" ya mchezaji mwenzake wa zamani wa Blaugrana. Beki...
Menotti: Maradona Angelia kwa Messi Kushinda Copa America

Menotti: Maradona Angelia kwa Messi Kushinda Copa America

1
Hisia za ushindi wa Copa America kwa Argentina bado hazijafa na Cesar Luis Menotti anafikiria kuwa ingekuwa wakati maalum kwa marehemu Diego Maradona. Katika mahojiano kwenye redio ya Argentina, Menotti aliongea kihemko juu ya mkongwe wa Argentina marehemu Maradona. "Diego, kama...
Messi: Mungu Ametusaidia Wakati Huu

Messi: Mungu Ametusaidia Wakati Huu

0
Lionel Messi alikuwa dimbani Jumamosi usiku kuiongoza timu ya Argentina kwani, baada ya miaka mingi ya mafanikio katika kiwango cha klabu, mwishowe aliweza kunyanyua taji kwa nchi yake. Argentina ilishinda 1-0 dhidi ya Brazil katika fainali ya Copa America na...

Pumpido: Messi ni Bora Tu Hata Bila Kombe na Argentina

0
Mlinda mlango wa zamani wa Argentina Nery Pumpido, ambaye alishinda Kombe la Dunia la 1986 na Albiceleste, anasisitiza kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora zaidi ulimwenguni bila kujali iwapo atashinda Copa America au la. Licha ya kazi nzuri na Barcelona,...
Neymar Awashambulia Wabrazil Watakao Ishangilia Argentina

Neymar Awashambulia Wabrazil Watakao Ishangilia Argentina

0
Neymar amewashambulia Wabrazil ambao watakuwa wakiishangilia Argentina wakati wa fainali ya Copa America. Wakazi kadhaa watatarajia kumuona Lionel Messi akiinua kombe hilo tofauti na watu wao, na kusababisha hisia kali kutoka kwa Neymar. "Mimi ni Mbrazil nina kiburi na upendo mwingi,"...

Brazil Waitolea Macho Fainali ya Copa America

0
Kocha mkuu wa Brazil Tite na Selecao wanaitolea macho fainali ya Copa America wakati wanajiandaa kupambana na Peru katika mchezo wa nusu fainali. Mabingwa watetezi Brazil na Peru watashuka dimbani katika nusu fainali ya Jumatatu huko Rio de Janeiro. Selecao sasa...

MOST COMMENTED

Barcelona Walimkataa Tanguy Ndombele

0
Klabu ya Barcelona wanaripotiwa kuwa walikataa fursa ya kumsaini Tanguy Ndombele au Serge Aurier kutoka Tottenham Hotspur kama sehemu ya makubaliano ya Emerson Royal. Emerson...
Barcelona

Barcelona Walimkataa Haaland

HOT NEWS