Wednesday, June 15, 2022

Ligue 1

Spurs Wahafikiana na Brighton kwa Uhamisho wa Bissouma

Spurs Wahafikiana na Brighton kwa Uhamisho wa Bissouma

0
Tottenham wamefikia makubaliano na klabu ya Brighton katika dili ya kumsajili Yves Bissouma kwa dau la £25m na mchezaji huyo anajiandaa kwajili ya kufanyiwa vipimo siku ya Alhamisi. Usajili wa kiungo huyo unakuwa ni usajili wa tatu kwa Antonio Conte...
PSG

PSG Kumfuta Kazi Mauricio Pochettino

0
Bingwa wa ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 wanampango wa kumfuta kazi kocha wa klabu hiyo Mauricio Pochettino siku kadhaa baada ya kufanikiwa kuipa ubingwa msimu huu ikiwa sehemu ya kufanya maboresho ya klabu hiyo. Mauricio Pochettino amekuwa kwenye klabu...
Kylian Mbappe

Kylian Mbappe Alimtumia Message Florentino Perez

0
Nyota wa klabu ya Paris Saint Germain na mshindi wa kombe la Dunia Kylian Mbappe ambaye alitengeneza vichwa vya habari kutokana na sintofahamu ya uhamisho wake wa wapi anakwenda kucheza kwa msimu ujao. Takribani mwezi sasa Kylian Mbappe alikuwa anahusishwa...
Kylian Mbappe

Kylian Mbappe Kubaki au Kuondoka?

0
Mchezaji nyota wa klabu ya Paris Saint Germain Kylian Mbappe ambaye mwishoni mwa msimu huu mkataba na mabingwa wa Ligue 1 unakwisha bado anagonga vichwa vya habari za usajiri barani ulaya kuhusu hatma yake kwa msimu ujao. Awali mtandao wa...
Idrissa Gueye

Idrissa Gueye Nasinfohamu ya Kukosekana Kwenye Mchezo Dhidi ya Montpellier

0
Mchezaji wa klabu ya Paris Saint Germain Idrissa Gueye kukosekana kwake kwenye mchezo wa siku ya jumamosi dhidi ya Montpellier kulileta sintofahamu kutokana kuwepo kwake kwenye mchezo huo ambapo PSG waliibuka na Ushindi wa 4-0 lakini. Idrissa Gueye mchezaji wa...

Karembeu: Messi Anastahili Heshima zaidi Ufaransa

0
Christian Karembeu amedai kwamba mchezaji wa Paris Saint-Germain Lionel Messi anastahili kupewa heshima zaidi na mashabiki wa mpira wa miguu wa Ufaransa. Hii inakuja kufuatia wiki za hivi karibuni mashabiki wa PSG wamekuwa wakiwazomea Neymar na Messi wakati wa mechi...
Karim

Karim Benzema Shujaa Mpya Real Madrid

0
Karim Mostafa Benzema ndio jina la halisi la shujaa mpya wa Real Madrid aliyeiongoza timu hiyo kutwaa ubingwa wa 35 wa ligi kuu ya Hispania La Liga na kuweka kumbukumbu isiyo sahaulika kwenye msimu 2021-22. Karim Benzema siku ya jana alifunga...
Pogba

Pogba Bado Anamvuto Sokoni?

0
Kuelekea usajili wa dirisha kubwa mwishoni mwa msimu huu, Paul Pogba ni mtihani. Bado anamvuto sokoni au ndio kwisha habari yake? Pogba anaingia kwenye orodha ya wachezaji huru msimu huu ambao anamaliza mkataba wa miaka 5 na Manchester United. The...
Mabeki wa 3 wa Kulia Anao Wakubali Dani Alves

Mabeki wa 3 wa Kulia Anao Wakubali Dani Alves

0
Beki kisiki wa Barcelona Dani Alves amewataja mabeki wa upande wa kulia anaowakubali kwa sasa katika soka ulimwenguni. Amemtaja Trent Alexander-Arnold kama mchezaji mwenye ujuzi wa hali ya juu kabisa, Reece James pamoja na Achraf Hakimi Mchezaji huyo wa kimataifa wa...

Chiellini: Kama Ibrahimovic Ataendelea Mimi Pia Nitaendelea

0
Giorgio Chiellini amedai kwamba Zlatan Ibrahimovic ambaye ana umri wa miaka 40 amemuhamasisha kwa kiasi fulani kuendelea kucheza mpira licha ya kufikisha umri wa miaka 37. Aliongelea uhusiano wake na Ibrahimovic Chiellini alitania kwamba wanajadili kuhusu kustaau kwao. "Ndiyo, kama Ibra...

MOST COMMENTED

Aaron Apendekeza Kitabu cha ‘The Alchemist’ Klabuni Kwake

0
Riwaya ya Paulo Coelho, The Alchemist, ni kitabu kinachojulikana ulimwenguni ambacho kimesomwa na wanamichezo wengi wa hali ya juu kama vile Lebron James, Kobe...

HOT NEWS