Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema kikosi chake bado kina imani kubwa ya kutwaa ubingwa wa Premier League licha ya kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Manchester City katika mchezo …
Makala nyingine
Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema timu yake inalenga kufikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la FA kwa mara ya nane mfululizo watakapokutana na Liverpool FC leo …
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amefungiwa mechi mbili na Chama cha Soka cha England FA baada ya kupokea kadi yake ya sita ya njano msimu huu wakati wa ushindi …
Tottenham Hotspur Women wamefuzu hatua ya robo fainali ya Women’s FA Cup kwa namna ya kipekee baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 9-8 dhidi ya London City Lionesses kufuatia …
Klabu ya Manchester United leo itakipiga katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Fa nchini Uingereza huku ikiwa na majeruhi kibao kwenye kikosi chake haswa eneo la ulinzi. Manchester …
Amad Diallo alitafakari kuhusu “ndoto iliyotimia” baada ya kufunga bao la ushindi dakika za lala salama na kuwashinda Liverpool 4-3. Mchezaji huyu wa akiba Diallo mwenye miaka 21, alishinda bao …
Erik ten Hag aliwasifu wachezaji wake wa Manchester United baada ya kunyakua ushindi wa 1-0 kwenye uwanja wa Nottingham Forest na kutinga robo fainali ya Kombe la FA. Bao la …
Conor Gallagher alifurahishwa na Chelsea kuweza kutoa kipigo chao jana cha mabao 3-2 dhidi ya Leeds baada ya kupoteza Kombe la Carabao dhidi ya Liverpool Jumapili. Chelsea watamenyana dhidi ya …
Mikel Arteta amesisitiza kuwa timu yake ya Arsenal lazima iwe imara zaidi baada ya kushindwa 2-0 na Liverpool katika mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la FA hapo jana. …
Ange Postecoglou hakushangazwa na bao la ajabu la Pedro Porro katika Kombe la FA dhidi ya Burnley, akidai kuwa bao hilo lilikuwa likisubiriwa sana. Juhudi za beki huyo wa …
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anafurahia nafasi ya kuweka historia ya soka katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wikendi ijayo. Guardiola aliwaona vijana wake wakiwachapa wapinzani wao …
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho la soka nchini Uingereza Fa Cup baada ya kuwafunga majirani zao klabu ya Manchester United mabao mawili kwa moja …
Kocha wa Manchester United Erik ten Hag anasema kuwa nafasi ya kusimamisha ushindi wa Manchester City mara tatu haitoi motisha ya ziada kuelekea fainali ya Kombe la FA. Macho …
Pep Guardiola amewaahidi mashabiki wa Manchester City timu yake “itatoa kila kitu” kuwashinda wapinzani wao Manchester United kwenye fainali ya Kombe la FA hii leo. Vilabu majirani vinapambana katika …
Pep Guardiola amepunguza wasiwasi kuhusu utimamu wa wachezaji kadhaa muhimu wa Manchester City kabla ya fainali ya Kombe la FA dhidi ya Manchester United hapo kesho. Jack Grealish, Kevin …
Aleksandar Mitrovic anatazamiwa kufungiwa kwa muda mrefu baada ya Chama cha Soka kudai kuwa “adhabu ya kawaida” haitatosha baada ya kumsukuma mwamuzi wakati Fulham ilipochapwa mabao 3-1 na Manchester United …
Pep Guardiola alitania kwamba alimtoa Erling Haaland dhidi ya Burnley ili kuhifadhi rekodi ya Lionel Messi. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Norway alifunga hat-trick yake ya sita msimu huu …

