Nyumbani Football Premier League

Premier League

Everton

Everton Watimua Wanne Tena

0
Klabu ya Everton wamewafuta kazi makocha wanne wasaidizi ambao walikuwa wanafanya kazi chini ya kocha ambaye wamemfungashia virago Rafa Benitez kwenye dimba la Goodison Park. Francisco de Miguel Moreno, Antonio Gomez, Jamie Harley na Cristian Fernandez wamefungashiwa virago mara tu...

Burnley Waomba Kuahirishwa kwa Mchezo wao Dhidi ya Watford

0
Klabu ya Burnley  wameiomba bodi ya ligi kuu Uingereza kuweza kuahirisha mchezo wao wa kesho Jumanne dhidi ya Watford kutokana na kuwa na visa vya maambukizi ya Uviko-19 na idadi ya majeruhi waliyonayo. Bodi ya ligi inatarajiwa kukaa kikao baade...
Everton

Everton Kumrejea Roberto Martinez?

0
Baada ya kuachana na Rafa Benitez, Everton ipo kwenye mchakato wa kumpata kocha wa kuiongoza timu hiyo. Roberto Martinez anarudi? Martinez sio jina geni miongoni mwa mashabiki na wadau wa Everton. Aliwahi kuwa kocha wa klabu hiyo ambapo, alifanikiwa kuifikisha...
Brentford

Brentford Kumrudisha Eriksen Uingereza.

0
Klabu ya Brentford ipo mbioni kumrejesha Christian Eriksen kwenye soka la Uingereza. Namba 10 ya uhakika itatua EPL? Eriksen anaweza kurejea Uingereza kwa mara nyingine baada ya kuondoka mwaka 2020 alipojiunga na Inter Milan akitokea Spurs. Aliitumikia Spurs kwa miaka...
Jürgen Klopp

Jürgen Klopp: Curtis Jones Yuko Sawa

0
Kocha wa Liverpool Jürgen Klopp amefichua akichozungumza na Curtis Jones wiki iliyopita kuwa wanafanya kazi pamoja kwa sasa kuhakikisha kiungo huyo kinda anarudi kwenye ubora wake msimu huu. Kinda huyo mwenye miaka 20alionyesha kiwango cha kuvutia kwenye mchezo wa Carabao...
Anthony Martial

Anthony Martial: Sijakataa Kucheza Man Utd

0
Mshambuliji wa timu ya Manchester United Anthony Martial amepinga kuwa hakukataa kucheza kama kocha wa muda wa klabu hiyo alivyodai kwenye mchezo wa jana dhidi ya Aston Villa ambao walitoka sare ya 2-2. Kocha wa muda wa klabu ya Manchester...

Tuchel : Lukaku Amecheza Chini ya Kiwango.

0
  Meneja wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kwamba hajafurahia kiwango cha Romelu Lukaku dhidi ya Manchester City, katika mchezo wa jana Jumamosi wa Ligi Kuu ya England kwenye Uwanja wa Etihad.   Tuchel akizungumza baada ya filimbi ya mwisho, alikiri kwamba alikuwa...
Everton

Everton Wamfuta Kazi Rafa Benitez

0
Klabu ya Everton imemfuta kazi kocha wake Rafa Benitez baada ya kuwa na matokeo mabovu ya hivi karibuni huku mchezo wake wa mwisho akipoteza kwa 2-1 dhidi ya Norwich City. Everton wamepoteza michezo saba kati ya kumi na wanapointi sita...
Guardiola : Hakuna Ubingwa wa January.

Guardiola : Hakuna Ubingwa wa January.

0
  Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola ameeleza umuhimu wa ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea uwanjani Etihad lakini akasisitiza kuwa taji la Ligi Kuu ya Uingereza huwezi kushinda mwezi Januari.   Kevin De Bruyne alifunga bao lake la tano dhidi ya...
EPL

EPL: Kughairisha Mchezo, Sababu Ni….

0
Kumekuwa na hali ya sintofahamu miongoni mwa wachezaji, makocha na mashabiki wa EPL, hii ni kutokana na maamuzi ya kughairisha michezo ya ligi. Uongozi wa EPL unanyooshewa vidole na wadau wakitaka uwazi kwenye sheria zinazotumika kughairisha michezo ya Ligi soka...

MOST COMMENTED

Kombe la Mataifa ya Afrika Laibiwa Misri.

48
Uchunguzi umeanzisha na Shirikisho la soka la Misri FA (EFA) baada ya kubaini kuwa vi-kombe kadhaa vimepotea kutoka makao makuu yake mjini Cairo, likiwemo...

HOT NEWS