Thursday, June 8, 2023

Football

HABARI ZAIDI

Baleke Ageuka Lulu Awindwa Kila Kona

0
UONGOZI unaomsimamia Jean Baleke umeweka wazi kuwa umepokea ofa kutoka kwa timu nyingi zikiwemo zinazocheza katika ligi mbalimbali barani Ulaya. Jean Baleke ambaye anakipiga katika...

Mayele ana Mabalaa

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga Fiston Mayele amefanya balaa kubwa hadi sasa ‘guu’ lake la kulia lina balaa kitaifa na kimataifa kwenye kutupia mabao kutokana na...

VITA YA SAIDOO, MAYELE IPO HIVI

0
WAKATI vita ya ubingwa ikiwa imefungwa kwa Yanga kufanikisha lengo la kutwaa ubingwa suala la kiatu cha ufungaji bora kwa sasa kina sura mpya...

Messi Anukia Marekani

0
Gwiji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ambaye ameachana na klabu ya PSG ya nchini...

Kante Atua Saudia Arabia

0
Aliyekua kiungo wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa Ngolo Kante amefanikiwa kujiunga na klabu ya Al Ittihad inayoshirki ligi kuu...

Qatar Kuwasilisha Ofa ya Mwisho Man United Ijumaa Hii

0
Kampuni ya Qatar chini ya Sheikh Jassim Emir El Thani kuwasilisha ofa yao ya mwisho ya kuinunua klabu ya Manchester United ambapo itakua na...

BALEKE MPYA ANASUKWA SIMBA

0
MTAMBO wa mabao ndani ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira unaendelea kupikwa upya kwa ajili ya mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara. Timu...

Hazard Anapanga Kustaafu Mpira wa Miguu

0
Winga wa zamani wa vilabu vya Lile, Chelsea, pamoja na Real Madrid Eden Hazard ambaye amevunja mkataba na klabu ya Real Madrid siku za...

Di Maria Kutimka Juventus

0
Winga hatari wa kimataifa wa Argentina Angel Di Maria ambaye alikua anakipiga ndani ya klabu ya Juventus inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama...

Polisi wa Ziada Waongezwa Kwaajili ya Fainali ya Ligi ya Europa...

0
Polisi wa Czech wamewaandikisha askari 250 zaidi kabla ya fainali ya Ligi ya Europa kati ya West Ham na Fiorentina mjini Prague.  Polisi wa eneo...