Makala nyingine

Kwenye vita ya kuwania ubingwa ndani ya ligi kuu bara inayodhaminiwa na NBC ngoma bado ni mbichi huku Simba ikipigwa bao mazima na Yanga kwenye eneo la kucheka na nyavu. …

Katika suala la kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora Afrika, Yanga hawana utani wakiwa ni namba moja kwenye eneo hili …

Thiago Motta anathibitisha kuwa hatajiuzulu baada ya Juventus kupoteza 3-0 dhidi ya Fiorentina akisema kuwa ‘itakuwa rahisi sana.’ Bianconeri walipata kipigo cha pili mfululizo kwenye Uwanja wa Stadio Franchi siku …

Gasperini Alia na Refa

Gian Piero Gasperini anasisitiza kuwa Atalanta “haijapungua kiwango” kwa kipigo cha 2-0 kutoka kwa Inter, akidai kuwa wao ni moja ya timu bora barani Ulaya, lakini anaelekeza lawama kwa waamuzi …

Simone Inzaghi alijibu kwa wanaoishuku Inter baada ya ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya Atalanta, akirejelea mara kwa mara mijadala kwenye televisheni na vyombo vya habari.  Nerazzurri wamekuwa na changamoto …

Inatajwa kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga Azizi Ki huenda akasepa baada ya msimu wa 2024/25 kugota mwisho kwa kuwa amepata timu ambayo inahitaji huduma yake kutokana …

Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao Coastal Union wanahitaji pongezi kwa kuwa sio jambo rahisi kupeleka timu kukabiliana na Yanga. Ujumbe huo ni kama dongo kimtindo …

Shomari Kapombe beki wa Simba amesema kuwa walikutana na ushindani mkubwa kutoka kwa wapinzani wao TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 32 bora CRDB Federation Cup uliochezwa Uwanja wa …

Ikiwa ni Jumatatu murua kabisa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufungia viwanja vitatu kutumika kwa michezo ya ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyotakiwa …

Mabosi wa Yanga wamebainisha kuwa hakuna kipengele kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa leo Machi 8 2025, saa 1:15 Uwanja wa Mkapa. Na Kwamba watakwenda uwanjani Kama kawaida …

Baada ya Simba kutoa taarifa kuwa wanagomea mechi kwa kuwa walizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkapa hivyo hawatacheza mchezo wa Machi 8 2025, Mwenyekiti wa Bodi ya …

Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo …

YANGA hawacheki na wowote huko ni spidi ndefu kila kona kutokana na rekodi ambazo zinaandikwa na wachezaji wao uwanjani katika eneo la kufunga na kutoa pasi za mabao, iwe wameanza …

1 2 3 4 5 993 994 995
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.