Kumekuwa na habari kutoka kwenye vyombo vya habari huko Uingereza ambazo zinaripoti kwamba mchezaji nafasi ya kiungo David Silva yupo mbioni kusepa kwenda Uturuki kukipiga kwa Fenerbahce! David Silva amekuwa …
Makala nyingine
Klabu ya soka ya Burnley imemnunua mshambuliaji Chris Wood anayetokea kule Leeds United! Bei yake imetajwa kuwa ndiyo iliyovunja rekodi ya klabu hiyo katika usajili ambapo ni dau la takribani …
Siku kadhaa nyuma kulikuwa na habari kwamba klabu ya soka ya AS Roma imeanza kukata tamaa ya kumnasa mchezaji Riyad Mahrez! Ilikuwa ni mara baada ya wao kuona kuwa klabu …
Kumekuwa na habari kuwa moja ya timu za kule Uturuki, Fenerbahce inamtamani sana nyota wa klabu ya soka ya AC Milan, M’Baye Babacar Niang na kuwa wameshatangaza kusudi la wao …
Mchana wa leo kuna mtanange mkali wa kuwania Kombe la International Champions kule dimbani National, Singapore ambao utakuwa ni kati ya Mabingwa wa Uingereza na wale Mabingwa wa Ujerumani! Katika …
Siku kadhaa nyuma ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya huko Hispania, La Liga 2017/18 ilitoka na gemu za kwanza zitasakatwa wikiendi ya kuanzia Agosti 18. Katika wikiendi hiyo …
Wakati ambapo kuna ripoti za klabu ya soka ya Barcelona kuwa ina uwezekano wa kumtoa Ivan Rakitic ili imsajili mpiga soka wa kimataifa wa huko Italia, Marco Verratti anayekipiga pale …
Kuna habari zikitanabaisha ya kuwa nyanda wa klabu ya Manchester City, Joe Hart ameshafuzu vipimo vya afya! Sasa ameshakamilisha usajili wa mkopo kukipiga kwa klabu ya West Ham United. Man …
Kwa mujibu wa mtandao wa Sun imeripotiwa kwamba klabu ya kule Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City watafanya juu chini ili kukamilisha mpango wa kumnasa beki Dani Alves juma hili! …
Ikiwa kuna tetesi za mpango wa klabu ya soka ya Real Madrid kumuwinda msakata kabumbu kinda Kylian Mbappe habari zinasema kuwa vyombo vya habari vya huko Uhispania vimetoka na ripoti …

