Ilikuwa kila mtu anaisubiri kwa hamu sana. Sasa imekuja njia nyepesi ya kuweka pesa kwa kutumia mfumo wa KwikPAY kwa njia ya M–Lipa.
Na hii hapa ni namna ya kuweka pesa kwenye akaunti ya Meridian kwa kutumia application ya KwikPay:
- Hatua ya 1: Ingia kwenye app ya KwikPay kwenye simu yako
- Hatua ya 2: Chagua kutumia KwikBill
- Hatua ya 3: Chagua kutumia Airtel Money
- Hatua ya 4: Chagua Bill (M-Lipa)
- Hatua ya 5: Ingiza ACCOUNT ID yako sehemu ya kumbukumbu namba ukianza na tarakimu hizi 555 kisha inafuatiwa na Account ID yako bila kuacha nafasi
- Hatua ya 6: Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa kuweka kwa shilingi za Kitanzania
- Hatua ya 7: Lipa bili
- Hatua ya 8: Ingiza namba yako ya siri ya Airtel Money na usiigawe kwa mtu yeyote yule kisha Thibitisha malipo yako
Ukishaweka inaweza kuchukua mpaka muda wa dakika 1 kwa pesa yako kuonekana kwenye akaunti yako. Ukihitaji maelekezo zaidi kuhusu hili usisite kuwasiliana na Huduma kwa Wateja.
Mambo ni rahisi sana.
Namna nyingine za kuweka pesa ni hizi hapa:
Maleek Jigga
Imerahisishwa zaidi, safi sana
Aziza mushi
Kwikpay iko poa zaidi Safi Sana meridiani
mwakalosi
Kwaiyo kwikpay inatumia airtel tu
Ester jackson
Good job meridianbettz
Mariam mtandama
Habari mjema meridianbet #
Samiah
Good news
Evaluziga
Kwaiyo kwipay inatumia Airtel tu au
Rehema Dickson
nawapongeza sana kwa njia hii watu tulikua tunalazimika kurudi mahali tulipo bet ata ukiwa nje ya mkoa adi urudi sehema husika ulio betia ndo upate pesa daah ilikua ngumu sana
Tahiya
Hii ni kwa mwenye airtel tyuu sasa itakuwaje kwa sisi ambao hatuna line ya airtel
Salma
Mko vizuri
Neema juma
Papo kwa papoo mshiko unaupata kwa urahisi
Devotha
Hiyo kwikpay siwezi kutumia kama ninatumia m-pesa
Mwanaidi
Asanteni kwa kuturahisishia
Rehema
Asante meridianbet kwa taarifa
Neema hassan
Habari njema kwa wateja#meridianbettz
Ester mmakasa
Meridianbet mko vizuri sana kwenye nyanja zote.
Ernest
Asante Meridianbet kwa maboresho haya, sema tunaomba huduma hizi ziwe za fasta sio kuchukua muda mwingi adi wakati mwingine kushindwa kufanya ubashiri maana pesa hazifiki kwa wakati, Nawapa Big Up
Asha
Ipo vzr net Work haisumbui kabisa
Hope mwaikuka
Hii njia ni rahis mnoo
Asia Abdy
Nimeielewa sana hii
Gabriel
Mbona n rahisi huitaji ata mwalim
Caroline
Ngoja nidownload hii.inaonekana nzuri
Sabrina
Maoni:iko poa nimelewa vzuri tu jinsi ya kutumia M-lipa.
farida ahmadi
Habari njema Sana
Abuu
Nielekezen namna ya kutoa pesa kupitia mlipa