Mara zote jukumu letu ni kukupatia kilicho bora na kukutengenezea mazingira ya kuwa huru katika maamuzi yako. Sasa uko huru kufanya miamala yako ya ushindi na Meridianbet kwa kutumia Airtel Money, Tigo Pesa na Mpesa. Unajiuliza namna gani unaweka kwa akaunti yako ya Airtel?

Usiwaze, ni rahisi tu! fuata hatua hizi kuweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Airtel Money
  • Hatua 1: Piga *150*60# kwenye simu yako
  • Hatua 2: Chagua 5 kulipia kwa Airtel Money
  • Hatua 3: Chagua 4 Kuweka namba ya Kampuni ya Meridianbet
  • Hatua 4: Ingiza namba ya kampuni ya Meridianbet ni “400700
  • Hatua 5: Weka namba 555 kisha ikifuatiwa na namba ya akaunti yako (ACCOUNT ID) kama kumbukumbu ya malipo. Mfano (555117132…)
  • Hatua 6: Weka kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet.
  • Hatua 7: Weka namba yako ya siri kukamilisha malipo na kumbuka kutompa mtu yeyote namba yako ya siri.

Inaweza kuchukua hadi dakika 1 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kama unahitaji maelezo yeyote ya ziada, usisite kuwasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja.

Baada ya hapo anza kutupa mikeka na kufurahia ofa zetu zote kuanzia soka hadi michezo ya kasino. Tuna mambo mengi ya kukufurahisha kwenye tovuti yetu.

 

Soma kuhusu njia nyingine za kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet

Kuweka pesa kwa KwikPay App

Kuweka pesa kwa MPESA

Kuweka pesa kwa TIGO PESA

76 MAONI

  1. Mwanzo tuliokuwa tunaipata sanaa shida lakini kwa Sasa mmetusaidia sana Yani yunaweka pesa kiulaini mpaka rahaa

  2. Huduma ni nzuri sema tumeanza pata changamoto kwenye upande wa withdraw pesa inachelewa sana kuipata tunaomba mcheki hili.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa