AFC Bournemouth Kumteua Marco Rose Kama Kocha Mpya

AFC Bournemouth wamefikia makubaliano ya awali na Marco Rose kuchukua nafasi ya Andoni Iraola, huku mazungumzo yakisimamiwa na Tiago Pinto.

AFC Bournemouth Kumteua Marco Rose Kama Kocha Mpya

Andoni Iraola anaiongoza Bournemouth kwenda kucheza dhidi ya Newcastle United baada ya kuthibitisha kuwa ataondoka msimu wa joto. “Cherries” wapo kwenye mfululizo wa michezo 12 bila kupoteza, huku Lewis Cook akiwa majeruhi na Julio Soler akirejea kikosini.

Alex Scott anaendelea kuwa mchezaji muhimu ndani ya kikosi hicho, licha ya kuvutiwa na Chelsea.

Marco Rose, aliyewahi kuinoa Borussia Dortmund na RB Leipzig, sasa anaweza kuanza mipango yake mipya, huku jukumu lake kubwa likiwa ni kumbakiza Alex Scott ndani ya klabu.

AFC Bournemouth Kumteua Marco Rose Kama Kocha Mpya

Klabu hiyo mpaka sasa wapo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi 45 hadi sasa baada ya kushinda mechi yao iliyopita dhidi ya vinara wa Ligi Arsenal.

Je Bournemouth msimu huu inaweza ikamaliza nafasi ya ngapi?. Na je vipi ujio wa Marco Rose unaweza ukaipeleka wapi timu hii katika ligi kuu ya Uingereza?

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.