Kila bara au nchi ulimwenguni huwa linakuwa na timu mbili zinazotoa upinzani mkubwa sana pindi zinapokutana uwanjani. Meridianbet Sports leo tunakuletea orodha ya Derby 5 kubwa zinazopatikana bara la Afrika. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
- Cairo Derby (Al-ahly vs Zamalek)
Hii unaweza kusema ndio Derby bora zaidi barani Afrika ambayo imechezwa tangua miaka ya 70s hadi hii leo. Al ahly vs Zamalek ni timu zinazotoka jiji la Cairo na kila timu ina rekodi zake dhidi ya mwenzake na ndio maana shirikisho la soka Afrika (CAF) Walizitambua timu hizi ni vilabu bora vya karne ya 20C.
2. Soweto Derby-Kaizer Chief vs Orlando Pirates (Afrika Kusini)
Mitaa ya Soweto huwa inachafuka kwa rangi nyeusi na Orange kuashiria timu zao pendwa za mitaa hiyo, ni Kaizer Chief dhidi ya Orlando Pirates ndio wanaiwakilisha Derby kubwa nchini Afrika Kusini. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Derby hiyo imeandikwa kwenye vitabu vya soka kwa kuwa na mvutano na upinzani mkubwa, mara nyingi huchezwa kwenye dimba la FNB Stadium lenye uwezo wa kubeba mashabiki 90,000 kwa pamoja.
Moja ya tukio lisilosahaurika ni vurugu zilizotokea kwenye miaka ya nyuma “The Ellis Park na Orkney Stadium Disaster ambapo vifo takribani 42 vilirekodiwa.
Derby hii ina takribani miaka 40 tangu ianzishwe kwake miaka ya 1970. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
3. Tunis Derby-Club Africain vs Esparence (Tunisia)
Timu hizi hazijatofautiana sana kuzaliwa kwakwe ilianza Esparence de Tunis mwaka 1919 ikiwakilisha tabaka la watu wa chini na mwaka uliofuatia 1920 Club Africain ilianzishwa ikiwakilisha tabaka la watu wenye pesa.
Kwa miaka mingi sana Esparence amekuwa akionesha kiwango kizuri dhidi ya mpinzani wake kwenye mashindano ya ndani na ya kimataifa. kwa pamoja wanatumia uwanja wa El Menzah au Stade el Menzah wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 60.000.
4. Wydad Casablanca vs Raja Casablanca- Casablanca Derby, (Morocco)
Kwa mara ya kwanza timu hizi zilikutana 1956 huku rekodi zikimbeba zaidi Raja Casablanca ameshinda mara 39 dhidi ya mara 33 ya Wydad Casablanca. Timu hizi zinatumia uwanja wa Mohammed wa V ambapo kwa mara ya kwanza mwaka 2019 timu hizi zilikutana kwenye mashindano ya Arab Club Championship na kuweka rekodi ya miamba hiyo kukutana nje ya mashindano ya ndani.
5. Kariakoo Derby, Simba SC vs Yanga SC (Tanzania)
Timu hizi zote zinapatikana mitaa ya Kariakoo lakini kwa sasa makazi yao yamehama mmoja akiwa Oysterbay huku Wananchi wakiweka kambi yao maeneo ya Avic Town Kigamboni. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.
Hakuna asiyejua upinzani ndani ya uwanja kwa wachezaji wa timu hizi, na nje ya uwanja kwa mashabiki, rekodi zinambeba Yanga akiwa ameshinda mara 36, Simba SC 26 huku sare zikiwa ni 37. Debi hii imeandikisha michezo zaidi ya 100 mpaka sasa tangu kuanzishwa kwake mwaka 1965.