Kisa Simba, Ellie Mpanzu Akataa Mamilioni ya AS Vita.

BAADA YA dili la  Winga Mcongo Ellie Mpanzu kufeli majaribio yake na KRC Genk, kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake….ukweli ni kwamba Mpanzu hataki Tena kucheza Vita Club,ingawa bado wanajaribu kumshawishi. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Inaelezwa kuwa Klabu ya Simba wapo kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya Mpanzu kama wataamua kurudi tena, ni baada ya majaribio yao mawili kutofanikiwa kipindi cha dirisha kubwa la usajili.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Rais wa AS Vital Amadou Diaby analazimisha kumbakiza mchezaji huyo ambaye Uongozi wa klab hiyo, kabla ya kwenda Ubelgiji walikuwa wamemuahidi kumlipa mshahara mkubwa zaidi atakaolipwa na Simba, huku wakipanga kumpa Unahodha wa timu.

Kwa upande wa Simba bado wana nafasi ya kumpata mchezaji huyo kwani kwa upande wa Mpanzu anataka kutafuta changamoto mpya, na taarifa alishawaaga marafiki zake wa karibu, hivyo Simba wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuinasa saini ya winga huyo katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe