Farid Mussa Nje ya Uwanja Miezi Mitatu

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi watakosa huduma ya kiungo wao wa kazi Farid Mussa. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Ikumbukwe kwamba Yanga ilitwaa taji hilo la ligi msimu wa 2023/24 na ilimaliza ligi ikiwa namba moja na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30 za ligi.

Ni Farid Mussa atalazimika kuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili hadi mitatu kutokana na kufanyiwa upasuaji wa misuli iliyochanika nyuma ya goti.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Makamu wa Rais wa klabu hiyo Arafat Haji, amemtembelea mchezaji huyo hospitalini ili kumjulia hali nyota huyo ambaye alikuwa anavaa jezi namba 17 itakayotumika na nyota Clatous Chama.

Yanga imecheza mchezo mmoja wa ligi ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kagera Sugar 0-2 Yanga.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe