Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika ubashiri au michezo ya bahati nasibu kwa jina lingine maarufu kama ‘Kubeti’.
Kampuni hii kwa sasa ina maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika. Pia, hata katika huduma zao kwa njia ya mtandao (online betting) ni za kiwango cha kuridhisha wakiwa na chaguzi nyingi (options) za bashiri na odds za kuridhisha.
Ukiwa na Meridianbet unaweza kubeti, au kubashiri kwa kiwango cha chini kuanzia hata kiasi cha TShs. 100 na pia wanazo njia nyingi za kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako.
Kama hujaweza kujiunga na Meridianbet fuata maelekezo haya hapa chini uweze kujiunga na kucheza ili uanze kufurahia ushindi wako ukifurahia huduma zao bomba.
HATUA YA 1.
Fungua tovuti ya Meridianbet kwa kubofya hapa MERIDIANBET TANZANIA na kisha bofya sehemu iliyoandikwa REGISTER au JISAJILI kama utakuwa umechagua lugha ya Kiswahili.
HATUA YA 2
Baada ya kuwa umebofya REGISTER au JISAJILI itafunguka fomu ambayo utajaza taarifa zako kisha utabofya next kuendelea na hatua itakayofuatia na katika fomu hii utajaza vitu vifuatavyo:
- Majina yako
- Namba ya simu
- Password/Neno la siri
- Tarehe, mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa
- Anuani
Pia, kumbuka kutiki sehemu yenye ‘kibox’ iliyoandikwa Terms and Conditions” au “Vigezo na Masharti” kuonesha kuwa umekubaliana na masharti ya Meridianbet.
HATUA YA 3
Baada ya kuwa umebofya next fomu itakupeleka katika hatua ya pili ambapo pia utajaza taarifa zako ambazo ni:
- Jinsia
- Address/Anuani yako
- Mji unaoishi
- Namba yako ya simu (kumbuka namba yako hii ya simu ndiyo utakayokuwa unaitumia kutoa na kuweka pesa katika akaunti yako ya Meridianbet)
- Promo code (hapa unatakiwa kuweka tiki katika kibox kilichopo hapo na kuweka promo code kama unayo, ikiwa hauna unaweza kuendelea bila hiyo)
- Kisha unaweza kuweka tiki katika Newsletter kama unahitaji kuwa unatumiwa taarifa mbalimbali katika email yako.
HATUA YA 4
Baada ya hapo utabofya kwenye register/jisajili kisha utatumiwa namba ya kuthibitisha akaunti yako kupitia namba yako ya simu uliyoandika ambapo. Login kwa taarifa namba ya simu na password kisha weka namba ulizotumiwa ili kuactivate akaunti yako.
Baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kujiunga na Meridianbet na unaweza kuingia kwa kutumia namba yako ya simu na password uliyochagua tayari na kuanza kuweka mikeka yako.
KUTAMBUA NAMBA YAKO YA AKAUNTI YA MERIDIANBET
Ni muhimu kutambua namba yako ya akaunti ya Meridianbet kwani ndiyo utakayokuwa unaitumia kuweka pesa katika akaunti yako ya Meridianbet ikiwa kama reference number au namba ya kumbukumbu ya malipo.
Ili kuweza kuitambua namba yako ya akaunti baada ya kuwa umeingia katika akaunti yako ya Meridianbet bofya sehemu iliyoonesha email yako. Baada ya kufanya hivyo utaona sehemu iliyoandikwa Account ID na hizo namba ndiyo namba zako za akaunti.
Hapo unaweza kuweka dau la lako kuanzia Shilingi 100/= katika michezo unayotaka kubashiri kulingana na machaguo yako.
Kama una swali au unahitaji msaada wowote kuhusu kujiunga na kuitumia Meridianbet usisite kuuliza hapa. Tutafurahi sana kukusaidia.
Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.
Asante Meridianbet kwa maelezo murua namna ya kujiunga
Meridianbet hamna mpizan
Hamna mpinzani meridiani.
Maelezo safi tunaomba elimu pia ya jinsi kurudisha neno la siri kama nimesahau
Maelezo yamejitosheleza tunawaelewa na kuwafatilia
Nitayafanyia kaz axanten sana
Haaa Hilo linajulikana mbona meridian ipo juu
asante meridiani kwa maelekezo mazuri ya kujiunga onlinebeting
Jiunge ss.
Nmewaelewa meridian
Asanteni kwa kunipa mwongozo meridianbet
Mko vizur
Nawakubali sn meridianbet mko juu saana!
tulikua tunapata tabu sana sasa tunashukuru kwa kutujulisha namna ya kujiunga onlinebeting
Asante meridian
Meridian mnanifanya nitabasam kila siku
duh online bet shs 100 mmetishana meridian bet
Asa tutashindwaje
mko vizuri meridianbet
Asante sana meridian mana niliwaomba sana sasa mmeniletea najiona tajiri kabla sijabashiri
Safisana naikubali meridianbet kwaujumbe mzuri
tunashukuru
Mko vizuri na pongezi kwenu
Sasa ni mwendo wa kubet online
Meridian mpo vzr nimependa utaratibu wenu.
Nimewaelewa Sanaa mko juu
Meridianbet mnatusaidia sana katika mitandao ya kijamii ,
Kampuni nzurii
nmeipenda hii
Safi Sana unaweza kujiunga popote na kuchukua mkwanja online meridianbet hakunagaaa
Maelezo n yakuridhisha sana shukran meridian
Mko vizuri meridianbet
Hii imekaa poa Sana
Kampuni iko bomba
Mnajitahidi kutujali wateja wenu
Asnten meridian kwa maelekezo mazuri
Mpaka 100 mmetisha sana meridianbet
Merridian ni motooo
asnte meridianbet kwa taarifa.. muda wote mpo juu
Asante kwa muongozo mzuri sasa ni mwendo wa kubet online
Nakubal
Ni mwendo wa kubet 2
Meridianbet muko juu
Asanteee kwa maelezo ya kujiunga
Asanteee kwa maelezo ya kujiunga maana nilikuwa napata shidaa kujiunga
Mpka mia 100 aah meridian mnatisha
Kwa maelezo haya mazuri hakuna atakaeshindwa kujiunga
Mko vizuri kweli
Hapa kweli nimeami meridianbet mpo vizuri Sana maana maelezo yamenyooka
Mmetisha cyo kwa mkwanja huo
Meridianbet mnatujali wateja wenu 👏👏👏
Mpo vizuri meridian