Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amefungiwa mechi mbili na Chama cha Soka cha England FA baada ya kupokea kadi yake ya sita ya njano msimu huu wakati wa ushindi wa timu yake wa mabao 3-1 dhidi ya Newcastle United katika mashindano ya FA,uliopigwa Machi 7, 2026.

Kutokana na adhabu hiyo, Guardiola atakosa mechi mbili za Ligi Kuu ya England dhidi ya Chelsea na West Ham United.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa
Hata hivyo, kocha huyo mtaalamu anatarajiwa kurejea kwenye benchi katika Fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Arsenal mnamo Machi 22, 2026, mchezo utakaochezwa kwenye dimba la Wembley.


