Nyumbani Football International

International

Australian Open

Australian Open: Medvedev Afuzu Hatua Ya 2

0
Jiji la Melbourne, Australia, linaendelea kuburudika na mashindano ya Australian Open yanayoendelea nchini humo. Baadhi ya mastaa wanaendelea kufanya vizuri viwanjani. Daniil Medvedev amefanikiwa kutinga hatua ya pili ya michuano hiyo. Medvedev ambaye ni bingwa mtetezi wa US Open, alikuwa uwanjani...
Olympique Marseille

Olympique Marseille Wapingwa Rungu Na Fifa.

0
Sheria ni msumeno. Olympique Marseille wameingia kwenye anga za Fifa. Rungu la sheria limewaangukia. HAKUNA KUSAJILI kwa mwaka mmoja. Kama kuna timu inajua ladha halisi ya kufungiwa usajili, basi ni Chelsea. Walipitia kipindi kigumu baada ya kufungukiwa kufanya usajili wa...
Fifa Awards

Fifa Awards: Lewandowski, Chelsea Wameng’ara!

0
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Robert Lewandowski ameondoka na tuzo kubwa ya dunia, Fifa Awards zimetaradadi. Januari 17,2022 bila shaka itabaki kuwa siku ya historia kwenye maisha ya Lewandowski na klabu ya Chelsea kwa ujumla wake. Baada ya figisu za kukosa...
Everton

Everton Watimua Wanne Tena

0
Klabu ya Everton wamewafuta kazi makocha wanne wasaidizi ambao walikuwa wanafanya kazi chini ya kocha ambaye wamemfungashia virago Rafa Benitez kwenye dimba la Goodison Park. Francisco de Miguel Moreno, Antonio Gomez, Jamie Harley na Cristian Fernandez wamefungashiwa virago mara tu...
Aubameyang

Aubameyang Ruksa Kurudi Arsenal

0
Kocha mkuu  wa timu ya taifa ya Gabon amemruhuhu mshamuliaji wake Pierre-Emerick Aubameyang kuondoka kwenye michuano ya AFCON na kurudi klabuni kwake ili aende akajiuguze baada ya kupata maambukizi ya Uviko-19. Vyombo mbali mbali vimeripoti kuwa alipewa ruhusa kutokana na...
Everton

Everton Kumrejea Roberto Martinez?

0
Baada ya kuachana na Rafa Benitez, Everton ipo kwenye mchakato wa kumpata kocha wa kuiongoza timu hiyo. Roberto Martinez anarudi? Martinez sio jina geni miongoni mwa mashabiki na wadau wa Everton. Aliwahi kuwa kocha wa klabu hiyo ambapo, alifanikiwa kuifikisha...
Dembele aa Xavi

Xavi Akubali Yaishe Kumkosa Dembele

0
Kocha wa Barcelona Xavi ameripotiwa kukubali kwamba klabu hiyo ya Catalan haitaweza kumsajili Ousmane Dembele kwa kumuongezea mkataba mpya. Taarifa zinataja kuwa staa huyu anaenda Juventus au Man United Mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 huko Camp...
Eden Hazard

Hazard Awachana Madrid Kutaka Kusepa!

0
Eden Hazard anaweza akaondoka klabuni Real Madrid kabla ya wakati wa mkataba wake kuisha. Miaka miwili iliyopita imekuwa ni kipindi kigumu sana kwa staa huyu wa Ubelgiji ambaye amekuwa akipambania kurejea kwenye fomu pamoja na hali yake ya fanya...
Pablo : Mbeya City ni Bora, Tunahitaji Umakini.

Pablo : Mbeya City ni Bora, Tunahitaji Umakini.

0
  Klabu ya Simba SC ikiongozwa na kocha Pablo inashuka dimbani katika uwanja wa Sokoine, Mbeya kuvaana na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC leo saa 10 jioni.   Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, amesema mchezo utakuwa...
Daniel Wass to Atletico

Daniel Wass Deal Done Kwenda Atletico?

0
Kila kitu kipo sawa kukamilisha uhamisho wa nyota wa Valencia Daniel Wass kuelekea Atletico Madrid kuwa, kwa mujibu wa ripoti. Wass amechaguliwa kuchukua nafasi ya Kieran Trippier, ambaye aliondoka Atletico na kujiunga na Newcastle United mapema mwezi huu. Trippier alikuwa na...

MOST COMMENTED

Klopp: Majeraha Isiwe Sababu ya Kufanya Vibaya.

23
Jurgen Klopp amesisitiza Liverpool haitatumia majeraha kama kisingizio, amesema hadhi ya kilabu inamaanisha bado wanatarajiwa kushinda. Liverpool wamekumbwa na idadi kubwa ya majeruhi tangu msimu...

HOT NEWS