City Wanamnyatia Donnarumma Huku Pep Akitazama Mbadala wa Ederson

La Gazzetta dello Sport na Sky Sport Italia zimethibitisha kuwa Manchester City wanavutiwa na golikipa wa kimataifa wa Italia Gigio Donnarumma huku Pep Guardiola akimwona nahodha wa Azzurri kama mbadala wa Ederson.

City Wanamnyatia Donnarumma Huku Pep Akitazama Mbadala wa Ederson
Vyanzo vya kuaminika vya Sky Sport Italia na Gazzetta vinadai kuwa Manchester City wanavutiwa na kipa wa Italia Donnarumma.

La Gazzetta dello Sport iliripoti kwa mara ya kwanza asubuhi leo pamoja na vyombo vingine vya habari vya Uingereza na Sky Sport Italia ilithibitisha habari hiyo leo mchana.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

City Wanamnyatia Donnarumma Huku Pep Akitazama Mbadala wa Ederson

Man City wanamnyatia Donnarumma huku Guardiola akitazama mbadala wa Ederson
Kwa mujibu wa Gazzetta, Donnarumma anashawishika kujiunga na Manchester City.

Mkataba wake huko Paris unamalizika Juni 2026 lakini mazungumzo kuhusu mkataba mpya yanakwama, bila kusahau kwamba miamba hao wa Ligue 1 pia wamemsajili kipa mwingine, Matvei Safonov, ambaye anaweza kushindana na Gigio kwa nafasi ya kuanzia 2024-25.

Sky Sport Italia imethibitisha kuwa Donarumma ni miongoni mwa makipa waliotajwa na Pep Guardiola kuchukua nafasi ya Ederson, ambaye huenda akahamia Saudi Pro League msimu huu.

City Wanamnyatia Donnarumma Huku Pep Akitazama Mbadala wa Ederson

Nahodha wa Italia Donnarumma aliruhusu mabao 112 katika mechi 113 akiwa na PSG.

Alijiunga na wababe hao wa Ligue 1 kwa uhamisho wa bure kutoka Milan msimu wa joto wa 2021.

Acha ujumbe