Nyumbani Sport Today

Sport Today

On each category you can set a Category template style, a Top post style (grids) and a module type for article listing. Also each top post style (grids) have 5 different look style. You can mix them to create a beautiful and unique category page.

Fabregas Ampongeza Barbara Gonzalez.

Fabregas Ampongeza Barbara Gonzalez.

0
Staa wa zamani wa Arsenal na timu ya Taifa ya Hispania, Cesc Fabregas ametuma salamu za pongezi kwa CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kwa kuwa mwanamke wa kwanza Afrika kuwa CEO wa klabu.   Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba...
Steve Thompson

Steve Thompson Achangia Ubungo kwa Ajiri ya Utafiti

0
Steve Thompson Mshindi wa kombe la dunia kwa mchezo wa Rugby ambaye alipata ugonjwa wa kusahau  akiwa na miaka 42, atachangia  ubongo wake kwa wanasayansi wanaofanya utafiti wa magonjwa ya trauma. Thompson mwenye umri wa miaka 43, ni miongoni mwa...
Bayern Wafungua Mazungumzo na Rudiger.

Bayern Wafungua Mazungumzo na Rudiger.

0
  Klabu ya Bayern Munich wamejiunga na Paris Saint-Germain na Real Madrid kuwania saini ya beki wa Chelsea Atonio Rudiger ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni huko Stamford Bridge.   Bayern wanafuatilia hali ya Rudiger ambaye mpaka sasa hajaongeza mkataba na Chelsea na...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

0
  Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu. Tetesi zinasema, Chelsea wanataka kumsajili beki wa kati wa Juventus na Uholanzi Matthijs de...
Genoa

Genoa: Rasmi Yamilikiwa na Wamerekani

0
Genoa Italia, klabu kongwe kotoka Italia na imayokuwa kwa kasi katika ligi kuu ya Italia imeuzwa kwa kampuni inayotoka Amerika ya Kaskazini. Genoa iliyoanzishwa mwaka 1893, imeuzwa kwa kampuni binafsi kutoka Marekani inayojulikana kama 777 Partners, klabu imetangaza kuwa 777...

Uchambuzi LaLiga: Cadiz vs Barcelona

0
Baada ya kuonekana kusuasua siku za hivi karibuni Barcelona leo wanajitupa tena dimbani kutafuta ushindi katika mchezo wa LaLiga huko Cadiz katika dimba la Estadio Nuevo Mirandilla. The Blaugrana kwa sasa wamekaa katika nafasi ya nane baada ya kucheza michezo...
Solskjaer

Solskjaer Sijutii Kutolewa Carabao Cup

0
Ole Gunnar Solskjaer amekubali kuwa alifanya jambo la hatari katika kupanga kikosi kwenye michuano ya Carabao Cup, lakini alitetea mfumo wake japo alipoteza dhidi ya West Ham United. Manchester United ilimshushia kipigo West Ham United jumapili iliyopita katika ligi kuu...
Matthijs de Ligt

Jicho la Chelsea ni kwa Matthijs de Ligt

0
Chelsea wanaripotiwa kuwa wanafikiria mbinu ya kumnasa mlinzi wa kati wa Juventus Matthijs de Ligt, baada ya kushindwa kumpata Jules Kounde wa Sevilla. Chelsea walikuwa na nia ya kumsajili mlinzi wa kati wakati msimu wa kiangazi, na Kounde aliaminika kuwa...
Manchester United Yafungasha Vilago Carabao Cup

Manchester United Yafungasha Vilago Carabao Cup

0
Klabu ya Manchester United imeondoshwa kwenye michuano ya Carabao Cup baada ya kukubali kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya West Ham United siku ya Jumatano usiku. Hii inakuwa mara ya kwanza tangu mwaka 2017 kuondoshwa katika raundi ya tatu kwenye...
Achraf Aiokoa PSG Dakika za Majeruhi

Achraf Aiokoa PSG Dakika za Majeruhi

0
Achraf Hakim aliibuka shuja wa Paris Saint-Germain baada ya kuisadia timu hiyo katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Metz siku ya Jumatano usiku katika mchezo wa Ligue 1. Timu hiyo ambayo inanolewa na Mauricio Pochettino bado haijaonja ladha ya kipigo...
- Advertisement -

LATEST NEWS

MUST READ