Friday, November 4, 2022
NyumbaniFootballTransfer Centre

Transfer Centre

HABARI ZAIDI

Savic Hauzwi Popote.

0
Rais wa klabu ya Lazio inyoshiriki ligi kuu nchini Italia amefunguka kuhusu kiungo nyota klabuni hapo Sergej Milonkovic Savic, Rais huyo amesema kiungo huyo...

Guimaraes wa Newcastle Anawindwa na Chelsea, Madrid na Liverpool.

0
Klabu ya Newcastle United  wanakabiliwa na kibarua kizito cha kumbakisha kiungo wao Bruno Guimaraes kutokana na mchezaji huyo kuhitajika na vilabu vikubwa barani Ulaya...

Lukas Hernandez Ana Mpango Gani na Atletico?

0
Beki Mfaransa Lucas Hernandez alikua mmoja wa walinzi ghali zaidi katika historia alipokuwa akiagana na klabu yake ya zamani Atletico Madrid na kwenda Bayern...

Son Ananyemelewa na Real Madrid.

0
Klabu ya Real Madrid ya Uhispania wanapanga kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Heung-Min Son mwenye umri wa miaka 30.   Mchezaji huyo maarufu wa Korea Kusini, msimu...

Zidane Kurejea Kwenye Ukocha Karibuni.

0
Kocha wa zamani wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane amezungumza kua ana uwezekano wa kurejea kwenye ukocha hivi karibuni baada ya kuulizwa kuhusiana...

Unai Emery Ateuliwa Kuwa Kocha Mkuu wa Aston Villa.

0
Klabu ya Aston Villa imemteua kocha wa Villarreal Unai Emery kuwa kocha wao mkuu akirithi mikoba ya aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Steven...

Liverpool Imeripotiwa Kumtaka Moukoko

0
Inaripotiwa kuwa klabu ya Liverpool wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kuwania saini ya kinda Borussia Dortmund Youssoufa Moukoko ambaye ni raia wa Ujerumani na ana...

Ten Haag: Ronaldo Bado Ni Mchezaji Muhimu Kikosini.

0
Kocha wa Manchester Eric Ten Haag amefunguka kua pamoja na yote yaliyotokee lakini staa wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo anabaki kua mchezaji muhimu kwenye...

Reece James Afafanua Inshu ya Majeraha Yake

0
Reece James alikiri kuwa ameambiwa na daktari wa upasuaji anaweza kuwa nje kwa miezi miwili kutokana na jeraha la goti alilopata dhidi ya AC...

Ronaldo Azua Gumzo Ndani ya United.

0
Staa wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amezua gumzo baada ya kuondoka kabla ya mchezo kumalizika dhidi ya Tottenham katika dimba Old Trafford. Staa...