Serie A

Italia: Wachezaji Watakaopinga Chanjo Hawataruhisiwa Kucheza

0
Italia, waziri wa afya wa ametibitisha wachezaji wote wanaopinga chanjo na wasiotaka kuchanjwa hawataruhusiwa kucheza tena msimu, huku akiibua maswali kwa timu za nje zitakazo kuja kucheza nchini humo. Tamko hilo la serikali leo limepitishwa na linatarajiwa kuanza kufanya kazi...
Genoa

Genoa: Criscito na Shevchenko Wapata Uviko-19

0
Klabu ya Genoa imethibitisha kocha wao Andriy Shevchenko na kapteni Domenico Criscito wamepata maambukiza ya uviko-19, klabu imtengaza matokeo hayo ya vipimo leo baada ya vipimo kufanyika jana 27 Disemba. Criscito alithibitisha kuwa amepata Uviko-19 kupitia mtandao wa Instagram na...
Inter na Ac milan

Inter na Ac Milan Kujenga Uwanja Mpya “Cathedral”

0
Vilabu vya Inter na Ac Milan wameungana katika mradi mpya wa kutaka kujenga uwanja mpya ambao wameoanga kuupa jina la "Cathedral"  ambao umechorwa na mchoraji ambaye aliyebuni uwanja mpya wa Tottenham Hotspur Stadium. Uwanja mpya utajengwa wiliya mmoja ambao upo...
Ronaldo

Ronaldo Vilabu vya Uingereza na Amerika ni Ghali Sana

0
Mshambuliaji wa zamani wa taifa la Brazil Ronaldo De Lima alisema kuwa kabla ya kwenda Hispania kununua klabu ya Real Valladolid, alitaka kununua klabu kwenye ligi ya Uingereza Championship na MLS ya Marekani. Ronaldo ametumia karibia miaka 20 kwenye soka...
Simon Kjaer

Simon Kjaer Kukosa Msimu Mzima

0
Mlinzi wa Ac Nilan Simon Kjaer atakuwa nje kwa msimu mzima baada ya kupata majeraha ya goti, kwenye mchezo ambao Ac Milan walishina goli 3-0 dhidi ya Genoa wiki hii, huku Kjaer akijiandaa kufanyiwa upasuaji. Simon Kjaer amekuwa na msimu...

Ibrahimovic Hana Tatizo Kusaini Mkataba Mpya na Milan

0
Zlatan Ibrahimovic bado haonyeshi dalili zozote za kustaafu kucheza soka baada ya nyota huyo kutaka kusaini mkataba mpya na klabu ya AC Milan baada ya kuifungia Milan bao la ufunguzi katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Genoa siku ya...

Juventus Kushushwa Daraja Tena?

0
Shirikisho la kulinda haki za mraji la Italia  "CODACONS", linadai kuwa klabu ya Juventus inaweza ikashushwa daraja kwenda kucheza Serie B na kunyang'anywa ubingwa wao wakombe la Italia kutokana na kesi inayowakabili ikiwa watatshindwa. Juventus wanashitakiwa kwa kutoa hesabu za...
Juventus

Juventus Kuchunguzwa na Polisi

0
Klabu ya Juventus imeingia tena kwenye mikono ya sheria baada ya polisi kuanza kuwachunguza viongozi wake wa juu dhidi ya matumizi ya pesa zilizotumika kuuza na kununua wachezaji kati ya 2019 na 2021. Mwenyekiti Andrea Agnelli, kaimu mwenyekiti, mchezaji wa...

Maradona Atimiza Mwaka Mmoja Tangu Kifo Chake

0
Ulimwengu siku ya Alhamisi unaadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Diego Maradona, ambaye anachukuliwa kuwa mchezaji bora wa wakati wote na mtu anayependwa katika nchi yake ya Argentina licha, au labda kwa sababu ya kasoro zake za...
https://meridianbetsport.co.tz/?s=Juventus+Aaron+Ramsey

Vilabu Vitatu vya EPL Vinataka Saini ya Ramsey

0
Mchezaji wa Juventus Aaron Ramsey anajiandaa kumaliza mkataba wake na klabu ya Juventus na kurejea katika Premier League na amekuwa na wakati mgumu huko Turin tangu ajiunge na klabu hiyo ya Serie A mwaka 2019 kama mchezaji huru. Na vilabu...

MOST COMMENTED

Kombe la Dunia Qatar

1
Kombe la dunia ambalo hufanyika kwa kipindi maalum kutoka kwenye muda ambao unajulikana duniani kote mara nyingi huibua burudani ya aina yake kutokana na...

HOT NEWS