Nyumbani Football Europa League

Europa League

Tottenham Kukata Rufaa ya Kupinga Maamuzi ya UEFA

0
Kocha mkuu wa klabu ya Tottenham Antonio Conte ameeleza kuhusu maamuzi ya UEFA ya kuwaondoa kwenye michuano ya "Europa Conference League" ni ya ajabu na amesema kuwa klabu yake itakataa rufaa mahakamani. Rennes walipatiwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham...
UEFA

UEFA kutoa €2 billion kwa Vilabu Wanachama

0
UEFA wametangaza kuingia mkataba na bank ya Citi bank ambayo watatoa €2 billion kwa vilabu wanachama ili kuweza kuwasidia kufidia hasara waliyopata kutokana na janga la Uviko-19. Hili wazo liliibuliwa mwezi agosti na kuripotiwa na gazeti la New York Times,...

Lozano Ang’oka Jino Baada ya Kugongana na Ndidi

0
Mchezaji wa Napoli Hirving Lozano alilazimika kutolewa uwanjani kwa machela ndani ya kipindi cha kwanza baada ya kugongana vibaya na Wilfred Ndidi wa Leicester City wakati wa mchezo wa Europa League. Lozano alikuwa akikimbia na mpira na kujigonga kwenye mguu...
Timu Zilizo Fuzu 16 Bora Ligi ya Mabingwa

Timu Zilizo Fuzu 16 Bora Ligi ya Mabingwa

0
Hatua ya makundi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa imefikia tamati na timu 15 kati ya 16 tayari zimejulikana kwenda hatua inayofuata isipokuwa Atalanta na Villareal ambazo mchezo wao ulihairishwa na siku ya leo zitamaliza kiporo chao wakati Villarreal...
Conte

Conte: Tottenham 13 Wapata Maambukizi ya Uviko-19

0
Antonio Conte amethibitisha wachezaji nane wa kikosi cha kwanza na watano kwenye benchi lake wamepima na kukutwa na maambukizi ya Uviko-19 na wanapaswa kujitenga kwa matibabu zaidi. Conte anakubali kuwa huu ni ugonjwa hatari watu waliopima jana na kuonekana hawana...
Madeni Kuzigharimu Porto na Sporting CP

Madeni Kuzigharimu Porto na Sporting CP

0
Porto na Sporting CP zinakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja kutocheza Ulaya iwapo zitashindwa kulipa madeni ambayo bado haijalipwa kufikia mwisho wa mwezi ujao. UEFA siku ya Ijumaa ilifichua vikwazo ambavyo vimetolewa kwa vilabu vinane kwa kukiuka kanuni za...
West Ham

West Ham Wakutana na Rungu la UEFA

0
Klabu ya West Ham imezuiwa kuuza tiketi kwenye mchezo wao wa unaofwata wa nyumbani kwenye michuano ya UEFA Europa League kutokana na mashabiki wao kufanya fujo kwenye mchezo waliosafiri kwenda Genk. Pia klabu ya West Ham imepigwa faini ya kiasi cha...
jose mourinho

Jose Mourinho Aikosoa Roma Kwenye Ushindi wa 6

0
Jose  Mourinho aliikosoa timu yake kwenye ushindi wa goli 5-1 katika ushindi wa wake wa sita mfululizo tangu achukue mikoba ya kuinoa timu ya Roma msimu huu. Jose Mourinho alikuwa mkali baada ya dakika ya 10 tu timu yake kuruhusu...
Chelsea Watwaa Ubingwa wa Super Cup

Chelsea Watwaa Ubingwa wa Super Cup

1
Bingwa mtetezi wa Ligi ya Mabingwa Chelsea amefanikiwa kutwaa ubingwa wa Super Cup baada ya kuwafunga mabingwa watetezi wa Europa League kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya kutunishiana vifua ndani ya dakika 120. Chelsea walianza kuongoza kipindi cha kwanza...

Fainali za Ligi ya Mabingwa 2023 Kupigwa Instanbul

1
Kamati ya Utendaji ya UEFA iliamua siku ya Ijumaa kuwa jiji la Istanbul litakuwa mwenyeji wa fainali ya Ligi ya Mabingwa ya 2023. Baada ya fainali ya 2021 kuhamishwa kwenda Porto, Istanbul itapewa tena ukumbi wa fainali ya Ligi ya...

MOST COMMENTED

Mkwanja Anaochukua Kaze kwa Mwezi ni Balaa

10
Wakati Yanga ikiwa inaongoza Ligi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric Kaze amekuwa akitumia kiasi cha shilingi milioni nane kwa siku 30 kulipa...

HOT NEWS