Thursday, December 1, 2022

News

HABARI ZAIDI

Ni Kwanini Timu ya Hispania Huwa Hawaimbi Wimbo Wao wa Taifa?...

0
Hispania ni moja ya timu maarufu za kimataifa na imekuwa kwenye kila Kombe la Dunia tangu 1978. Jezi zao nyekundu na soka safi ni sehemu...

Saudia kila Mchezaji Kuzawadiwa Rolls Royce

0
Mtoto wa mfalme wa Saudia Arabia Mohammed Bin Salman Al Saud ametangaza kila mchezaji wa timu ya taifa ya nchi hiyo kuzawadiwa gari la...

Senegal Kazi Imeanza Rasmi Qatar

0
Timu ya taifa ya Senegal imeanza kuonesha makali katika michuano yta kombe la dunia nchini Qatar baada ya kuwafunga wenyeji wa michuano hiyo timu...

Wales Aubeba Mzigo Mzito| Ili Afuzu Inapaswa Waifunge England

0
Mabao hayo yaliyoishinda Wales yalikuja mwishoni mno na kumwacha Gareth Bale akiwa amesimama uwanjani, mikono juu, uso wenye sononeko, akiwa amechanganyikiwa na hali ambayo...

Uingereza Wakumbwa na Hofu ya Majeraha| Kane Huenda Akaukosa Mchezo na...

0
UINGEREZA inakabiliwa na hofu kubwa ya majeraha Kombe la Dunia huku nahodha wake Harry Kane akifanyiwa uchunguzi wa kifundo cha mguu.   Nahodha huyo wa Uingereza...

Mbappe Atangaza Vita| Giroud Afikia Rekodi ya Thierry Henry

0
Hili lilikuwa Kombe la Dunia ambalo mabingwa watetezi na wanaopigiwa chapuo kwa mara nyingine tena Ufaransa ambako Paris St Germain inayomilikiwa na Qatar haitumii...

Lucas Hernandez Nje Kombe la Dunia

0
Beki wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Fc Bayern Munich Lucas Hernandez atakua nje ya michuano ya kombe la dunia baada...

Yanga Yaendeleza Ubabe wake NBC

0
Klabu ya soka ya Yanga imeendeleza ubabe wake kwenye ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC baada ya kuichapa klabu ya Dodoma Jiji katika...

Saudi Arabia Yavunja Unbeaten ya 37 kwa Argentina

0
Saudi Arabia Ilichukuliwa kuwa ni timu ndogo ambayo wengi walitazamia kushuhudia akipoteza ama kufanya maajabu dhidi ya Argentina, ilichukua dakika 10 tu kuwapa walichotaka....

Neco Williams: Afiwa na Babu Yake Kabla ya Mechi ya Kombe...

0
Neco Williams amefunguka kuhusu msiba babu yake uliotokea ambao ulimfanya 'alie kutwa nzima' akifichua kuwa, aliambiwa kuhusu msiba huo saa chache kabla ya kuiwakilisha...