Kiungo wa kati wa Juventus Paul Pogba amealikwa kukutana na wachezaji wa Ufaransa kabla ya mechi yao ya hatua ya 16 bora ya EURO 2024 dhidi ya Ubelgiji, licha ya kufungiwa kwa miaka minne kwa kufeli kipimo cha dawa za kusisimua misuli.

Mchezaji huyo amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa kumpa adhabu ya kufungiwa miaka minne kwa kufeli kipimo cha dawa za kusisimua misuli mwezi Agosti, na kuipeleka Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).
Ikiwa rufaa hiyo itashindikana, basi Juve watajaribu kusitisha mkataba wake kwa sababu za haki, au kukubali kusitishwa kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.


