Euro Cup

EURO 2020

Euro 2020 Kuanza Rasmi Kesho Mapema Tu

6
Michuano iliyosubiriwa kwa hamu kubwa ya Euro 2020 inategemewa kuanza kutimua vumbi rasmi siku ya kesho, ambapo kutakuwa na mechi moja ya ufunguzi kati ya Italy na Uturuki pale katika dimba la Olimpico mjini Rome. Michuano hii ya ambayo uhusisha...
McTominay Aweka Mbili za Fasta Fasta.

McTominay Apania Euro 2020

1
Scott McTominay ni miongoni mwa wachezaji wachache kutoka Klabu ya Manchester United walioitwa katika timu za taifa kwa ajili ya kuhudumu katika mataifa yao kuelekea michuano ya Euro 2020. McTominay amedai kuwa kikosi chake cha Scotland hakipo katika kiwango kizuri...
EURO 2020

Russia Kufungua Usafiri Kwa Ajili Ya EURO 2020

3
Michuano ya mataifa ya Ulaya EURO 2020 ililazimika kusitishwa kwa muda baada ya lile wimbi la COVID-19 kuibuka na kuua watu wengi, huku ikisababishwa usafiri wa watu kuzuiwa kwa muda kwenye nchi nyingi ikiwamo Russia. Hatimaye baada ya ukweli kwamba...

Erling Haaland kwenye Kivuli cha Ronaldo De Lima

13
Sababu kubwa na nzito iliyowafanya PSV wamsajili Ronaldo De Lima baada ya World Cup ya Marekani 1994, ni kasi yake. Walijua mabeki Uholanzi na Ulaya nzima hawakuwahi kukutana na mshambuliaji wa kati mwenye kasi kama ya De Lima, hivo hawakuwa...
Diego Maradona

Neno la Mwisho la Maradona kabla ya Kufariki

18
Mastaa wengi duniani wameendelea kutoa pole kutokana na kifo cha Diego Maradona amefariki akiwa na umri wa miaka 60, siku za mwisho alifanyiwa upasuaji wa ubongo akiwa anaedelea vizuri na kuruhusiwa kutoka hospitali. Miongoni mwa mastaa ambao wametoa kauli kuhusu...

Hazard Afunga Goli Lake la Kwanza Champions League

17
Eden Hazard ingizo jipya ndani ya Real Madrid amefunga bao lake la kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Klabu ya Chelsea. Hazard alifunga bao hilo kwa mkwaju wa penalti dakika ya 7 huku...

Peter Shilton: Maradona Hakutuomba Msamaha kwa Bao la Mkono

15
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya England Peter Shilton ambaye alikuwa langoni kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kati ya England dhidi ya timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa Diego Maradona...

Breaking News: Diego Maradona Aaga Dunia.

20
Habari kutoka vyombo mbalimbali vya michezo nchini Argentina vimethibitisha Legendi wa Soka Diego Armado Maradona amefariki dunia akiwa na miaka 60. Mshindi huyo wa kombe la dunia mwaka 1986 alipata tatizo la shambulio la Moyo (Cardiac Arrest) alipokuwa nyumbani kwa...

FIFA Yatoa Majina ya Wanaowania Mchezaji Bora Duniani 2020

17
Shirikisho la soka Ulimenguni FIFA limetoa orodha ya wanasoka 11 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2020, Tuzo hiyo itatolewa Disemba 17, 2020 sambamba na tuzo ya kocha bora, wa kike na wakiume, golikipa bora na goli bora la...

Ronaldo na Messi Walivyotufanya Tushiriki Dhuluma

27
Frank Ribery amehusika katika kamba 40 msimu mzima, ametwaa tuzo ya mchezaji bora Bundesliga, amebeba treble pale Ujerumani, kabatini amezifungia medali za UEFA, taji la ligi kuu na DFB POKAL akiwa na Bayern Munich, isitoshe amekuwa mchezaji bora Ulaya. . Kule...

MOST COMMENTED

Chelsea Watoa Msaada Pesa za Ubingwa

52
Mabingwa wapya wa ligi ya wanawake ‘Women’s Super League' (WCL), timu ya wanawake ya Chelsea wana mpango wa kutumia pesa zote walizopewa kama zawadi...

HOT NEWS