Scott McTominay ni miongoni mwa wachezaji wachache kutoka Klabu ya Manchester United walioitwa katika timu za taifa kwa ajili ya kuhudumu katika mataifa yao kuelekea michuano ya Euro 2020.

McTominay amedai kuwa kikosi chake cha Scotland hakipo katika kiwango kizuri sana lakini atafanya awezavyo kujaribu kuwapiku wachezaji wenzake kama Bruno Fernandez na Paul Pogba ambao wapo kwenye timu zenye wachezaji wakubwa!

McTominay aliliambia jarida la The Sun,

“Huwezi jua nini kitatokea. Kutakuwa na majina ya wachezaji wakubwa wakicheza, lakini sio wao tu ambao hucheza vyema. Sio kusema kwamba hawatocheza ila kwa kuangalia walichofanya Man United, naamini watafanya makubwa.

Lakini huwezi jua kwenye mashindano makubwa – watu wanatokea kusipojulikana na kuwashinda hao wachezaji wakubwa. Ninajiandaa kuona hayo na kufurahia zaidi kwakweli.

Kucheza mpira muda mwingi kunategemea na presha iliyopo. Kujiamini kunakuja kwa njia nyingi”.

McTominay anaamini kuwa anaweza kucheza kwa viwango vikubwa sana katika michuano hiyo kama hatokutwa na majeruhi na kuisaidia timu yake ya taifa ya Scotland kwenye michuano hiyo itayoanza tarehe 11 mwezi huu.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa