Taarifa kutoka tovuti ya Skysports Italia inadai kuwa Juventus haitaji kumuona supastaa Cristiano Ronaldo anaondoka klabuni hapo, hivyo yamefanyika mazungumzo kati ya kocha mpya wa Juve, Maximilliano Allegri na Ronaldo, ili kujua msimamo wake.

juve
Ronaldo na Allegri

Mbali ya mazungumzo ya Ronaldo na Allegri, pia wawakilishi wa Juve walikutana na wawakilishi wa Ronaldo yote kuhakikisha wanamshawishi aendelee kubaki.

Ronaldo mwenyewe haonekani kuwa na mpango wa kubakia klabuni hapo kutokanana na mwenendo mbaya wa timu.

juve, Juventus Kumbakisha Ronaldo, Meridianbet

Mkataba wake unatarajia kumaliza mwisho wa msimu ujao, lakini ameonekana kuanza kuhamisha baadhi ya mali zake ndani ya jiji la Turin kuashiria anaondoka.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa