Luka Modrić Aendelea Kutoa Burudani ya Soka

Sahau kwanza juu ya ushindi wa AC Milan wa bao 1 -0  dhidi ya Inter Milan je, ulimuona yule babu pale katikati ya uwanja? Mtakatifu Luka kwenye kiwango bora dhidi ya lnter. Juzi tu alikuwa Tottenham Hotspur, kisha akaandika historia kubwa akiwa Real Madrid, na leo hii akiwa na miaka 40 bado anaonekana ndani ya jezi ya AC Milan akipiga soka safi kabisa.

Luka Modrić Aendelea Kutoa Burudani ya Soka

Ni kweli, kasi imepungua kidogo lakini akili ya mpira bado ni ile ile. Ni kama kisu cha mgema kinaweza kuchakaa, lakini makali yake hayafi. Mbali na umri wake mkubwa, Modrić bado anaonyesha ubora wa kipekee sana uwanjani. Usiku wa jana ametoa burudani ya kiwango cha juu pale katikati ya uwanja pasi safi, utulivu wa hali ya juu, na akili kubwa ya mpira amekichafua vibaya mno.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Luka Modrić Aendelea Kutoa Burudani ya Soka

Ni miongoni mwa wachezaji wachache sana wanaothibitisha kwamba darasa halizeeki kila anapogusa mpira unaona wazi uzoefu na kipaji vikizungumza. Babu anaondoka na ukali wake heshima kubwa kwa gwiji huyu na shukrani kwa Zlatan Ibrahimović kwa kutupa nafasi ya kumuona tena Luka Mo kwenye jukwaa kubwa la ushindani.

Luka Modrić Aendelea Kutoa Burudani ya Soka

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.