Thursday, December 1, 2022
NyumbaniFootballChampions League

Champions League

HABARI ZAIDI

City Yalaani Unyanyasaji Mbaya wa Kibaguzi Dhidi ya Lewis

0
Klabu ya Manchester City wamelaani unyanyasaji "mbaya" wa kibaguzi kutoka kwa mashabiki wa Sevilla dhidi ya Rico Lewis wakati wa mchezo wa Ligi ya...

Mbappe na Galtier Wanalalamikia Mapungufu Yao

0
Mchezaji wa PSG Kylian Mbappe amekubali kuwa klabu yake PSG haikufanya vya kutosha ili waongoze kundi lao la Ligi ya Mabingwa, ambalo Benfica waliweza...

Allegri: Juventus Watumie Hasira ya Ligi ya Mabingwa Kama Motisha

0
Kocha wa klabu ya Juventus Massimiliano Allegri amewataka wachezaji wake kutumia hasira zao zote za kushindwa kwao kwenye Ligi ya Mabingwa kama motisha ya...

Chelsea Yapata Pigo Jingine Tena

0
Klabu ya Chelsea imepata pigo jingine hapo jana baada ya beki wao mwingine Ben Chilwell kuumia kwenye mchezo wa jana wa klabu bingwa Ulaya...

Ujerumani na Uingereza Zang’ara Hatua ya 16 Bora

0
Ligi ya Ujerumani na Ligi ya Uingereza zimeng'ara hapo jana kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya baada ya kila ligi kupeleka timu nne katika...

Klopp Aukubali Mziki wa Liverpool

0
Jurgen Klopp hajawahi kutilia shaka ubora wa Liverpool na alifurahishwa na jinsi timu yake ilivyojikwamua kutoka kwenye mateso yao ya hivi karibuni kwa kuwashinda...

Kocha wa Marseille Aponzwa na Mashabiki

0
Kocha wa Marseille Igor Tudor aliwafokea wachezaji wake kulinda nafasi yao ya Ligi ya Europa katika nyakati za hatari dhidi ya Tottenham lakini hawakusikia. Mazingira...

Spalletti: “Sidanganyiki na Kiwango Cha Liverpool”

0
Kocha mkuu wa Napoli Luciano Spalletti amesema Napoli "haitadanganywa" na matokeo ya hivi karibuni ya Liverpool wala Jurgen Klopp hawawezi kupata ushindi hii leo...

Tottenham na Wenzake Kuvuta Pumzi ya Moto Leo Uefa

0
Klabu ya Tottenham Hotspurs na wenzake katika kundi D watakua na kibarua kigumu sana katika michezo yao ya mwisho itakayopigwa leo hii ya kuwania...

Liverpool Kuvunja Rekodi ya Napoli?

0
Liverpool kuwakaribisha klabu ya Napoli leo katika dimba la Anfield katika mchezo wa mwisho hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani ulaya, Ambapo vijogoo...