Habari kutoka vyombo mbalimbali vya michezo nchini Argentina vimethibitisha Legendi wa Soka Diego Armado Maradona amefariki dunia akiwa na miaka 60.

Mshindi huyo wa kombe la dunia mwaka 1986 alipata tatizo la shambulio la Moyo (Cardiac Arrest) alipokuwa nyumbani kwa mapumziko baada ya kufanyiwa oparesheni ya kuondoa damu iliyoganda kwenye ubongo.

Maradona, Breaking News: Diego Maradona Aaga Dunia., Meridianbet

Maradona aliruhusiwa kutoka hospitali November 11 siku 8 baada ya kukubali kufanyiwa operesheni ya ubongo.

Taarifa hizo za kusikitisha zimetolewa na Mwanasheria wake muda mchache baada ya habari hizo za kusikitisha kutokea.

Mchezaji huyo wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona na Napoli anachukuliwa kama mmoja wa wachezaji bora kuwahi kucheza Soka.

Maradona, Breaking News: Diego Maradona Aaga Dunia., Meridianbet


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

20 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa