KIKOSI cha KMC kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arta Solar 7 ya nchini Djibouti, Agosti 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar. Kikosi hicho cha KMC ambacho …
Makala nyingine
Mshambuliaji nyota wa Brazil Neymar amefunga magoli mawili kwenye mchezo ambao timu hiyo ilipoifunga timu ya taifa ya Korea ya kusini goli 5-1 jijini Seoul siku ya alhamisi, ambapo magoli …
Timu ya taifa ya Brazil imerejea katika nafasi ya kwanza katika viwango vya FIFA miaka mitano baada ya kushushwa kwenye nafasi hiyo. Ushindi wa 4-0 dhidi ya Chile nyumbani na …
Kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis van Gaal amemuonya bosi wa Ajax Erik ten Hag kuhusu kuchukua majukumu ya kuinoa klabu ya Manchester United. Ten Hag mwenye umri …
Nyota wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza Bukayo Saka ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa kwenye michezo ya kirafiki kati ya Ivory Coast na Switzerland …
Kocha mkuu wa timu ya taifa Uholanzi Louis van Gaal amekutwa na maambukizi ya coronavirus kuelekea mechi za kirafiki dhidi ya Denrmark na Ujerumani na nafasi yake itachukuliwa na Danny …
Mhakama ya usuruhishi ya michezo “The Court of Arbitration for Sport” (CAS) imetupilia mbali shauri lililopelekwa na shirikisho la mpira la Urusi kupinga maamuzi ya FIFA ya kuwaondoa kwenye mashindano …
Kila mtu huwa ni mpenzi wa aina fulani ya mchezo ambapo; hujisikia ufahari mkubwa hata anapochagua timu fulani ya kuishangilia katika aina hiyo ya mchezo. Mpira wa miguu pia upo …
Kiungo wa Arsenal Granit Xhaka amepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona wakati akiwa katika majukumu na timu ya taifa ya Switzerland. Timu ya Uswiss imethibitisha siku ya …
Karim Benzema hajaumia sana katika mchezo wa Ufaransa dhidi ya Bulgaria Jumanne na anatarajiwa kupatikana kwa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Ulaya dhidi ya Ujerumani mwezi Juni 14. Mshambuliaji …
Mchezaji wa Man United, Jesse Lingard ambaye aliponesha kiwango safi baada ya kujiunga na West Ham United, ameonesha ukomavu katika soka. Ama hakika, uungwana ni vitendo. Lingard alimaliza msimu wa …
Al Ahly hii au nyingine? Nilijiuliza lakini nikiri wazi nilianza kushtuka, nikaamini wazi CEO anatupanga, nikaona ameamua kutufunga kamba ila kuna sauti ikaniambia fanya research jiridhishe, usipinge tu. Nikaanza kuwatafiti …
Siku, Masaa, Dakika na Sekunde hufanya kubadilika Kwa majira na namba za Miaka. Mwaka 2015 miaka 6 iliyopitia ilikuwa ni mara ya mwisho kuiona jezi nambari 10 ya timu ya …
Kieffer Moore alifunga bao pekee la mchezo wakati Wales walipopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mexico siku ya Jumamosi. Wales ilibadilisha wachezaji wote 11 baada ya kutoka kupoteza kwa …
John Stones anastahili kuitwa katika timu ya taifa ya England, hii ni kulingana na meneja wa Manchester City Pep Guardiola. Beki huyo mwenye umri wa miaka 26 aliifungia City bao …
Leslie Feinberg alikuWa mwandishi mkubwa sana nchini Marekani, licha ya kuwa na maumbile ya kike lakini alipenda sana kuwa mwanaume, hivyo ikambidi aishi katika desturi za kiume (Tom boy). Binti …
Nimesikia maajabu mengi sana duniani ikiwemo mchanga unaotembea katika hifadhi ya taifa Ngorongoro. Nimesikia juu ya miti inayotembea ndani ya msitu mkubwa wa Amazon. Unajua bado siamini kama ipo chemchem …