Watu Maarufu Kwenye Soka

Kila mtu huwa ni mpenzi wa aina fulani ya mchezo ambapo; hujisikia ufahari mkubwa hata anapochagua timu fulani ya kuishangilia katika aina hiyo ya mchezo.

Mpira wa miguu pia upo hivo kuna watu maarufu wakiwemo wasanii pia waigizaji wanaojihusisha katika soka kwa kuzishangilia au kupenda kuwa mashabiki wa klabu fulani.

Rapa Jay z ni shabiki wa klabu ya Arsenal ba mara nyingi amekuwa akienda hata uwanjani kuangalia mechi akiwa na msanii mwenzake Chris Martin. Msanii huyo alianza kuipenda klabu hiyo toka kipindi cha akina Thienry Henry hadi sasa amekuwa akiishabikia klabu hiyo na anawakubali kwa namna wanavocheza soka safi hadi leo.

Will Ferrell tajiri na mmiliki wa klabu ya Los Angeles FC anekuwa shabiki wa klabu hiyo kwa kipindi kirefu na anajikubali bado kuwa shabiki wa klabu hiyo pamoja na kwamba yeye pia anamiliki timu. Mwaka 2017 alikuwepo uwanjani kushuhudia mechi iliyokuwa ikipigwa kati ya Arsena na Chelsea, wakati miamba hao wa darajani wakiibuka na ushindi. Na amekuwa akivaa jezi ya timu hiyo mara kadhaa.

Sylvester Stallone ni shabiki kindakindaki wa Everton toka mwaka 2007. Alianza kuwa shabiki wa klabu hiyo kutokana wamiliki wa klabu hiyo kuwa ni marafiki zake wakubwa; na kuna baadhi ya movie ziliwahi kuchezewa ndani ya uwanha huo wa Godson Park. Hadi sasa mwigizaji huyo mkubwa anajilaumu kwa kushindwa kuinunua klabu hiyo kipindi cha nyuma alipowahi kufikiria kufanya hivyo.

Gary Lineker, aliichezea klabu hiyo lakini mapenzi yake ndani ya klabu hiyo hayana ukomo kwake. Pamoja na kuzichezea klabu nyingine lakini hajaweza kupoteza msimamo wake na imani yake juu ya miamba hao wa Uingereza. Mapenzj yake yaliongezeka mara dufu baada ya klabu hiyo kuishangaza dunia kwa kuchukua ubingwa wa ligi mbele ya vigogo wa ligi hiyo.

Liam Neeson, amekuwa shabiki wa Liverpool kwa kipindi kirefu sana hadi sasa. Nyota huyo wa Hollywood aliwahi kuikasirikia klabu hiyo hata baada ya kumuuza Gerrard kikosini hapo kwa kuona kama ni kumkosea heshima kutokana na mchango mkubwa aliouonesha kwenye klabu hiyo kwa wakati ule.

Mwimbaji Noel Gallagher amekuwa shabiki mkubwa wa klabu hiyo. Anehudhuria mechi kadhaa za klabu hoyo na anajivunia kwa kiasi kikubwa kuwa shabiki wa klabu hiyo. Anatambulika kwa kiasi kikubwa na uongozi wa timu hiyo kwa mapenzi yake ya dhati aliyonayo ndani ya klabu hiyo kwa kipindi kirefu.

Justin Timberlake, mwimbaji huyu anaipenda klabu hiyo kwa kipindi kirefu na mara kadhaa anekuwa akionekana viwanjani kushuhudia mechi za klabu hiyo. Hata baadhi ya vifaa vyake anavyovitumia vina alama ya klabu hiyo. Mara zote anapenda ushindani uliopo kati ya Man United na City pindi wanapokutana.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe