Mchezaji nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza Kurt Zouma ameomba radhi baada ya kuonekana kwenye picha ya video akimpiga paka wake kama mpira kwenye sakafu ya jikoni kwake.

Zouma Aomba Radhi kwa Tukio la Kumpiga Paka Wake

Nyota huyo wa West Ham, 27,baada ya kushambuliwa kwa kitendo hicho Zouma aliomba radhi kwa shambulio hilo na kusema kuwa anajutia.

Klabu yake imelaani kitendo chake na kusema itashughulikia suala hilo ndani.

Kanda hiyo, iliyopatikana na The Sun, ilirekodiwa na kakake Zouma, Yoan, ambaye anasikika akicheka, na kuwekwa kwenye Snapchat.

Zouma alisema: “Nataka kusema jinsi ninavyosikitika sana kwa yeyote ambaye alikasirishwa na video hiyo.

“Ningependa kuwahakikishia kila mtu kuwa paka wetu wawili wako sawa na wana afya njema.

“Wanapendwa na kuthaminiwa na familia yetu yote, na tabia hii ilikuwa tukio la pekee ambalo halitatokea tena.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa