Friday, September 23, 2022
Nyumbani Meridianbet

Meridianbet

Bernard Morrison

Bernard Morrison Akiondoka Tanzania Atakumbukwa kwa Lipi?

0
Siku moja Bernard Morrison atafunga ukurasa wake kwenye soka la Tanzania, utachagua wewe umkumbuke BM3 kwa lipi, ila binafsi nitaikariri kurasa moja nzuri sana kutoka kwa Benny. Kwenye kitabu chake ametupa somo zuri sana kuhusu mpira wa miguu kuwa ni...
Timo Werner Arejea Klabu ya RB Leipzig

Timo Werner Arejea Klabu ya RB Leipzig

0
Straika wa Ujerumani Timo Werner anajinadaa kurudi katika klabu yake ya zamani baada ya klabu ya Chelsea na RB Leipzig kufikia makubaliano ya kitita cha pauni milioni 25. Timo atatua Leipzig siku ya Jumanner kwaajili ya kufanyiwa vipimo ili kukamilshwa...
Dabi ya Kariakoo Kinaumana Oktoba 23

Dabi ya Kariakoo Kinaumana Oktoba 23

0
MAMBO ni moto kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022/23 ambapo tayari ratiba ya msimu mpya imewekwa hadharani huku mchezo wa kwanza wa dabi ya Kariakoo unaozikutanisha timu za Simba na Yanga ukitarajiwa kupigwa Oktoba 23, mwaka huu. Jana Jumatano Uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), ulitangaza rasmi ratiba hiyo ambapo michezo ya mzunguko wa kwanza inatarajiwa kuanza kupigwa Agosti 15, mwaka huu ambapo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga wanatarajia kuanzia ugenini dhidi ya Polisi Tanzania Agosti 16, mwaka huu. Simba na Azam wao wanatarajia kuanzia michezo yao ya mzunguko wa kwanza nyumbani ambapo Simba watacheza mchezo wa kwanza dhidi ya Geita Gold, huku Azam waliomaliza kwenye nafasi ya tatu wakianzia nyumbani dhidi ya Kagera Sugar. Michezo ya kufungia msimu wa 2022/23 inatarajiwa kupigwa Mei 27, mwaka 2023 na michezo ya kwanza ya mtoano ‘Play Off’ ikipigwa Mei 31, na michezo ya marudiano itapigwa Juni 3, mwaka 2023. CEO wa TPLB, Almasi Kasongo alisema: “Tunatarajia kuwa na michezo 240 ya mizunguko 30 kwa msimu mpya wa 2022/23 ambapo 120 ni michezo ya nyumbani na 120 ya ugenini, michezo ya mzunguko wa kwanza inapigwa Agosti 15, mwaka huu na michezo ya mzunguko wa mwisho itachezwa Mei 27, mwaka 2023. “Kutakuwa na mapumziko 17 ya kupisha shughuli mbalimbali kama mashindano ya ndani na kimataifa na pia Shughuli ya Sensa na mchezo wa dabi ya kwanza utafanyika Oktoba 23, mwaka huu saa 11:00 kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.”
Jemedari Said

Jemedari: Wanaomchukia Manara ni Wengi Kuliko Tunaompenda

0
Jemedari Said Kazumari amekua ni moja ya watu wanaozungumzia kwa ukaribu sakata la manara na TFF kwa siku za karibuni, Leo kupitia kurasa wake wa Instagram ameandika andiko lefu kuhusu haji kuomba radhi kwa waziri juu ya kauli aliyo...
Makocha Yanga, Azam watambiana

Ratiba Yampasua Kichwa Kocha Yanga

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana wachezaji kiasi cha kukosa muda wa kutosha wa kupumzika. Nabi raia wa Tunisia ambaye ameiongoza Yanga...

Julio: Tumefanya Usajili Mzuri

0
KOCHA Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amefunguka kuwa katika dirisha hili kubwa la usajili wamechukua wachezaji wazuri kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao. Akizungumzia maandalizi yao, Julio amesema kuwa tayari kikosi chao kimeanza maandalizi ya msimu ujao na kwa...
Mastaa Wanne Yanga SC Kuwakosa Wasudan

Aziz Ki, Morrison Wampa Jeuri Bosi Yanga

0
OFISA habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi kuwa wanajivunia ubora wa mastaa wapya waliosajiliwa ndani ya kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23 na kuweka wazi kuwa, hawana haja ya kujisifu sana bali wapinzani wao wajiandae kwa maumivu...

Kocha Msaidizi Aanza na Spidi 120 Simba

0
BAADA ya kuanza kazi rasmi siku ya Jumapili, kocha msaidizi mpya wa Simba, Sbai Karim ameanza na mkwara mzito ndani ya kikosi hicho baada ya kutambulisha programu nzito ya mazoezi ya viungo na utimamu wa mwili kwa wachezaji wa...

Pogba Kuwakosa Barcelona Sababu ya Jeraha

0
Paul Pogba hatosafiri kwenda nchini Marekani kwaajili ya mchezo wa kirafiki wa Juventus dhidi ya Barcelona siku ya Jumanne huko Las Vegas sababu ya kukabliwa na jeraha la paja. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alijiunga tena na mimba wa...
Gavi: Naifurahia Barcelona Hii Kuliko Mtu Yeyote

Gavi: Naifurahia Barcelona Hii Kuliko Mtu Yeyote

0
Mchezaji wa Barcelona Gavi amefunguka jinsi anavyoifurahia timu hiyo baada ya miamba hao wa Uhispania kufanya sajili nzuri na jinsi zitakavyo imarisha kikosi hicho baada ya kumaliza msimu uliyopita bila kikombe chochote. Gavi ambaye anaingia msimu wake wa pili na...

MOST COMMENTED

Ozil Akamilisha Uhamisho Wake Fenerbahce.

16
Mesut Ozil amekamilisha uhamisho wake wa kwenda Fenerbahce baada ya makubaliano na klabu hiyo akitokea Arsenal. Mshindi wa Kombe la Dunia Ozil, mara tu usajili...
Yaliyojiri Klabu Bingwa!

Yaliyojiri Klabu Bingwa!

HOT NEWS