Muda mwingine nakaa chini nawaza, Hivi ni kweli Simba ina fundi huyu anayepigania namba pale Zambia ‘chipolopolo’ mbele ya Kelvin Kampamba, Augustine Mulenga, Donashano Malama, Nathan Sinkala na Enock Mwepu …
Makala nyingine
Kiungo wa Kimataifa wa Uhispania, Thiago Alcantara yupo mbioni kujiunga na mabingwa wa Premier League, Liverpool baada ya kocha mkuu wa klabu hiyo, Jurgen Klopp kusisitiza kusajiliwa kwa mchezaji huyo …
Basi ni Meridianbet pekee inakupa Bonasi ya Milioni 300 kwa Jackpot ya timu 15 tu, usisubiri tena Piga *149*10# kwa Tigo pekee ufurahie Jackpot kubwa zaidi Tanzania. Usikae kinyonge kila …
Beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw ataukosa mchezo wa nusu fainali ya FA Cup utakao ikutanisha timu ya Manchester United dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili katika dimba …
Baada ya soka kusimamishwa nchini Ufaransa kwa zaidi ya miezi 4 kutokana na janga la Corona, hatimaye mabingwa wa Ligue1 PSG wamerejea tena dimbani kujiandaa na mchezo wa Robo fainali Ligi …
Kocha Frank Lampard kuelekea mechi ya Manchester United vs Chelsea kwenye nusu fainali ya Kombe la FA amesema; “Mabeki wangu wanatakiwa kuwa makini sana, kwasababu kwa aina ya wachezaji wenye …
Mikel Arteta anaamini FA Cup haijawahi kuwasumbua kushinda Arsenal ikiwa wanaendakukabiliana na wababe Man City katika nusu fainali ya mashindano hayo. Mara ya mwisho hizi timu mbili zilkutana katika hatua …
Jorge Jesus amechaguliwa kuwa kocha mkuu wa Benifica kwa mara ya pili baada ya kuachana na mabingwa wa Brazil na Amerika ya Kusini klabu ya Flamengo. Benifica wamefikia maamuzi ya …
Katika mpira wa miguu kumekuwa na sheria inayotaka matokeo ya mwisho kuamuliwa kwa penati vilevile penati hutolewa mchezaji anapochezewa rafu kwenye boksi la timu pinzani. Hapa tunaangalia mechi ambazo zimechezwa …
David Silva mchezaji wa kimataifa wa Hispania anaye cheza katika Premier League tayari ameichezea klabu ya Manchester City michezo 432 na kuifungia timu hiyo magoli 77 na kutoa asisti 139 …
Rais wa zamani wa Barcelona, Joan Laporta anaamini Lionel Messi anaweza kutimka Camp Nou kama usiano wake na bodi na ya Barcelona hautaimarika. Lionel Messi amebakiza miezi 12 ya kuitumikia …
Lionel Messi amesema kwamba Barcelona inahitaji mabadiliko ya hali ya juu kama wanahitaji kutotolewa katika Champions League na Napoli baada ya kuachia ubingwa wao wa Laliga . Barcelona walipoteza mchezo …
Nyota wa Huston Rockets Harden amefika mjini Orlando siku ya Jumanne kwaajili ya mashindano ya NBA yanayo tarajiwa kuendelea mwisho wa mwezi huu. Staa huyo alifika kwa kuchelewa baada ya …
Berbatov amekosoa vikali hali inayo endelea kwa mchezaji wa kimataifa kutoka Wales Gareth Bale kwa kuigiza utoto kwenye mchezo dhidi ya Granada baada kutopewa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha …
Gianluigi Donnarumma amehamasika kuendelea kusalia kunako klabu ya AC Milan na imeripotiwa ya kwamba golikipa huyo ataongeza mkataba msimu unaofuata, hii ni kwa mujibu wa kocha mkuu Stephano Piolo. Donnarumma …
Olivier Giroud amevuta hewa safi kwenye kikosi cha Chelsea na Tammy Abraham anatakiwa ajifunze kutoka kwa Mfaransa ambaye anaonekana kurejea kwenye kiwango chake, amesema Jimmy Floyd Hasselbaink. Abraham alikuwa chaguo …
Manchester United imeripotia kuwa wasikiliza ofa kwaajili ya Alexis Sanchez, Chris Smalling, Marcos Rojo, Phil Jones, Jesse Lingard na Diogo Dalot ili kutengeneza mkwanja kwaajili ya maingizo mapya majira ya …
Winga wa Wales, Rabbi Matondo ameomba msamaha baada ya kupigwa picha akiwa amevaa jezi ya wapinzani wa klabu. Matondo, 19, mchezaji wa Schalke alifanya mazoezi na jezi ya Borussia Dortmund. …
Giorgio Chiellini mlinzi wa timu ya Juventus yupo nje ya dimba kutokana na kutokuwa fit akisumbuliwa na majeraha ya goti imekuwa ni majuto makubwa kwa kocha wa Juventus Maurizio Sarri …
Arsenal wanafurahisha kuwatizama na ni kama wamekuwa na changamoto mpya katika Premier League mara baada ya kuwa chini ya Mikel Arteta, hii ni kwa mujibu wa Meneja wa klabu ya …

