Alichokisema Berbatov Kuhusu Bale.

Berbatov amekosoa vikali hali inayo endelea kwa mchezaji wa kimataifa kutoka Wales Gareth Bale kwa kuigiza utoto kwenye mchezo dhidi ya Granada baada kutopewa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Real Madrid. Dimitar Berbatov amesema kitendo alicho kifanya Bale ni kuikosea heshima Real Madrid.

Bale amejikuta kutopewa nafasi klabuni hapo kwa msimu huu kwani amecheza dakika 100 pekee kwenye msimu wa LaLiga  tangu ligi hii irejee baada ya kusimama kwa muda wa miezi mitatu kufuatia kuzuka kwa virusi vya Corona.

Mshindi huyo wa kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nne alizua taharuki baada kunaswa kwenye Kamera akiwa amevaa barakoa kwenye macho huku akiwa anacheka na mchezaji mwenzake wakati wa mchezo wa Real Madrid dhidi ya Alaves wiki iliyopita na Madrid iliibuka na ushindi wa 2-0.

Bale alikuwa kama mchezaji wa akiba kwenye mechi hiyo alionekana akiwa ameweka  darubini kwenye macho yake huku akiangalia Madrid ikishinda 2-1 dhidi ya Granada na mchezaji mwenzake wa zamani wa Tottenham Berbatov amekosoa kitendo hicho.

Gareth Bale amekuwa kwenye vichwa vya habari tena baada ya kuzuga amelala alipokuwa kwenye benchi na kuonekana kama hatotumika kwenye mchezo dhidi ya Granada,” Berbatov alimuandikia kwenye ukurasa wa Betfair.

“Wakati nilipoona ile hali, sikuamini nilimuangalia alikuwa amevaa Mask machoni na kuigiza kama amelala, siwezi kuunga mkono, haija kaa kitaalamu na nikuikosea heshima timu.

“Napenda kumuona Bale akiwa anacheza na nina jua maumivu aliyo nayo sasa sababu nilisha wahi kuwa kwenye hali kama hiyo. Lakini hii imezidi sasa imeenda mbali.

“Gareth Bale suluhisho ni moja kuondoka Real Madrid Jumla /mkopo kwenda sehemu atakayopata namba ya kudumu au kuheshimu Real Madrid.

 


 

Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

53 Komentara

    Asamehewe tu kwa kitendo alichokifanya

    Jibu

    Asamehewe bule tu maana#Meridianbettz

    Jibu

    Kila mtu anamawazo yake na hata yeye mwenyewe anamawazo yake kwa nini aliamua kufanya vile ingawa kwa sisi tunaona amefanya kosa.

    Jibu

    Asamehewe tu

    Jibu

    Asamehewe tuu alichokifanya

    Jibu

    Kila mmoja anamawazo yake ila kama viongoz wake wameona kakosea aombe msamaha#meridianbett

    Jibu

    Bale ni kinara asamehewe tu

    Jibu

    Safi sana demita Berbatov kwa kumkanya vikali mchezaji mwenzio…na kuto kuflaishwa na alicho kifanya

    Jibu

    Bale samehewe tu

    Jibu

    Bale hafanyi utoto ila amefanya kile kilichostahili kuonyesha anakula mshahara bure ndani ya Madrid kitu ambacho wachezaji wengi huwa wanaumia sana kukosa ata muda kidogo wa kucheza huku bado kukiwa na sitofahamu kuhusu maisha yake ya soka kwa ujumla, Madrid should allow Bale to leave the Club no matter what loss they are facing so that he can enjoy football life.

    Jibu

    Tatizo lake bale jeuri nyingi wamsamehe tu

    Jibu

    Asamehewe ila apunguze jeuri

    Jibu

    Kukosa kwake nafasi kumemfanya kukosa nidhamu hii pia inatokana na hasira

    Jibu

    Msameheni sana kwani naye ni binadamu hajakamilaka

    Jibu

    Apunguze jeuri asamehewe

    Jibu

    Asante kwa taaarifa#meridianbettz

    Jibu

    Wamsamehe tuu

    Jibu

    Asanteh kwa taarifa

    Jibu

    Wasamehe tu kwa kitendo alichokifanya#meridianbettz

    Jibu

    asamehewe jamani.binadamu kukosea ni kawaida

    Jibu

    Bale kiwango kimeshuka sana,akae benchi tu.

    Jibu

    Daah asemehewe tu

    Jibu

    Bale nimchezaji mzuri sanaa ila kwa real madrid anaonekana kukaa benchi mda mrefu na kutochezeshwa na kitendo alichofanya bale sio kizuri ila kwa kukaa benchi mda mrefu anatafuta njia ya kusepa klabuni hapo ana manufaa napo

    Jibu

    Muhimu atafute timu ya kucheza, Madrid hapo pashakuwa pagumu

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Asamehewe tyuu Garrett Barre

    Jibu

    Bare ni mchezaji mzuri sana sema real wamezidi kumuweka bench kwa mda mrefu ameongea ya moyoni mwake

    Jibu

    gud news mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Sioni kosa kwa Balle mana kwenye mechi hapangwi kilichobaki ni kuwazoom tyuu

    Jibu

    bale ni mchezaji mzuri sana ila apunguze jeuri ndo maana anawekwa bench

    Jibu

    Bale anaona maisha yake Santiago bernabu yamefikah ukingon co chakustahajabisha

    Jibu

    Gareth Bale amekua na tuhuma nyingi za utovu wa nidhamu

    Jibu

    Bale amelidhika

    Jibu

    Bale ajishushe na aombe msamaha ili mambo mengine yaendelee.

    Jibu

    Kikubwa gareth bale kuondoka madrid

    Jibu

    Mtimueni bas hapo kilabuni

    Jibu

    Namkubali sana jamaa…wamsamehee tuuu

    Jibu

    Utani mwingine usipowaza kwa haraka unaweza kukuletea matatizo ,unaweza kuona unawaburudisha wenzako kumbe inakugharimu ,kukubwa wamsamee alikuwa anajaribu kuwafurahisha wenzie

    Jibu

    Wasemehe atakuwa ameshajifunza

    Jibu

    Bale yuko sahihi kwani Kila binadam ana mawazo yake

    Jibu

    Balle ameshindwa kujitambua Ndio maana anfanya vitu ambavyo si sahihi katika michezo

    Jibu

    bale hana mawasiliano mazur na kocha wake kwa misimu mitatu sasa inaonekana uongozi hawajawa tayari kumuachia japo hayupo kwenye mipango ya kucha

    Jibu

    Taa ya kijani imeshawaka kwamba aendelee na mipango mingine. Pamoja ya kwamba hana uhusiano mzuri na Kocha nae amekuwa akiongeza chumvi kwenye kidonda kwa vitendo vyake vya kiburi#meridianbettz

    Jibu

    sidhani Kama bale kwa kufanya ivyo amefanya kosa

    Jibu

    Bale ni mchezaji ambaye hanajituma sana akuna mtu hasiyeijua histor yake pale Madrid ila kwa kitendo wanacho mfanyia sio poa kabic ni kuishuasha samani yake kama mtu mmesha mchoka ni vizuri kumuacha haende akatafute maslai yake sehemu nyengine

    Jibu

    Hapunguze ujeuri ila wamsamee tuu

    Jibu

    Jeur c nzur ,vzr alivyomtolea uvivu kwa Hilo nidhamu sehemu yoyote inahitajika

    Jibu

    Bale njoo uingereza ukipige timu nyingi zinakuhitaji.

    Jibu

    Asamehewe tu

    Jibu

    Bale asepe tu madrid anashusha kiwango chake

    Jibu

    Jeuri sana

    Jibu

    Msamaha unahitaji kwa kweli

    Jibu

    Bale Anakusudi sana#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.