Atalanta Waingia kwenye Rekodi Serie A.

 

Atalanta wameshinda michezo 21 kwenye msimu wa sasa wa Serie A, sawa na rekodi yao ya msimu wa 2016/17 kwenye Ligi kuu ya Italia.

Ushindi mechi 21 kwenye mechi 38, lakini msimu huu ni baada ya mechi 33 tu.

Wamefunga mabao 6+ katika mechi Nne tofauti – Ni rekodi katika msimu wa sasa kwenye Ligi kuu tano za Ulaya 2019/20.

Pia wamefunga mabao 4+ katika mechi Nane msimu huu.

 

Atalanta Waingia kwenye Rekodi Serie A.

 

Atalanta ni moja ya timu mbili ambazo zimefanikiwa kufunga jumla ya mabao angalau 93+ katika msimu mmoja wa Serie A katika miaka 60 iliyopita

Pia Napoli mnamo msimu wa 2016/17 (94 katika mechi 38).

Atalanta wamefunga mabao 93 msimu huu baada ya mechi 33 tu kati ya 38 za msimu.

Ni timu tatu tu katika Historia zimefunga mabao zaidi yao baada ya kucheza mechi 33 katika Serie A.

  •  Torino – 1947/48 (105)
  • AC Milan – 1949/50 (103)
  • AC Milan – 1950/51 (101).

Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

50 Komentara

    Habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Taarifa nzuri hizi#meridianbett

    Jibu

    Pongezi nyingi kwao

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Ni habari njema hizo

    Jibu

    Ongera kwao atalanta

    Jibu

    Binafsi nawaona Atalanta wakifanya makubwa kwenye ulimwengu wa soka siku za hivi usoni.

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Safi ongera atalanta

    Jibu

    Safi Sana atalantaa.

    Jibu

    Wanasitahili pongezi sana

    Jibu

    Bigup Atalanta#meridianbettz

    Jibu

    hongera sana Atalanta#meridianbettz

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Hongera atalanta

    Jibu

    Atalanta wanajituma sana safii kwao

    Jibu

    Hongera yao Atlanta wazee wa 4+ hapo

    Jibu

    Hii Atalanta iko vizuri sasa.

    Jibu

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hongera Sana Atalanta

    Jibu

    saf

    Jibu

    hongera sana atalanta

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Wapo on fire

    Jibu

    Hongera sana kwao.

    Jibu

    Msimu huu walikua kwenye kiwango bora sana

    Jibu

    Ni vzr

    Jibu

    Wapo vizuri na habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Atalanta sio wa mchezo mchezo ni haki yao kuweka rekodi

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Atalanta wako vizuri Sana

    Jibu

    Uzuri wa Atalanta wamewekeza Sana Ndio maana wameweka Record nzuri msimu huu

    Jibu

    hawa jamaa wamekuwa wa moto sana huu msimu ukiingia unakula nyingi

    Jibu

    Kuna mchambuzi amesema wakamalia wana msemo wao kwamba ukitaka hela ya mboga mkeka wako mpe magoli mengi Atalanta#meridianbettz

    Jibu

    Atalanta ni moja Kati ya timu mbili ambazo zimefanikiwa kufunga angalau magoli 93+

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Atalanta wamekua na molali hivi karibuni

    Jibu

    Pongezi nyingi sana kwao

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Gud news kwao.

    Jibu

    Wametisha

    Jibu

    Wanastahil

    Jibu

    Makala safiii

    Jibu

    Wako poa sana#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.